Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Kama ni ofisi ya chama cha mapinduzi lazima wampost kuonyesha upendo na mshikamanoTangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili iweje? Unampostia nani? Unamjulisha nani ambaye hajapata hizo taarifa kwamba Makamu wa Rais Mteule ni Deo Ndejembi?
Ni wakati wa watanzania kubadilika; tuache uchawa na shobo! Yapo mambo mengi ya kutaarifiana lakini sio haya ambayo ni public yanajulikana na kila mtu.
Kuna mtumishi wa umma anaweza kumposti Lissu au Heche?Huo ndo uhuru, hata hii tarrifa ya uzi haina tofauti na hilo unalolilalamikia
KUweza , inawezekanaKuna mtumishi wa umma anaweza kumposti Lissu au Heche?
wenye akili ndogo ni wachache sana wengi hatuna akili kabisaWatanzania wengi ni sycophants wenye akili ndogo.
π― Na hawaelewi wanakwenda wapi na wanataka nn!Tumefika hapa kwa Sababu ya unafiki wa Watanzania wengi.Watanzania wengi ni sycophants wenye akili ndogo.
Nakubaliana na wewe 100%Watanzania wengi ni sycophants wenye akili ndogo.
Hamna hawa ni watu tu kajambanani hata sio watu wa chamaKama ni ofisi ya chama cha mapinduzi lazima wampost kuonyesha upendo na mshikamano
π― Na hawaelewi wanakwenda wapi na wanataka nn!Tumefika hapa kwa Sababu ya unafiki wa Watanzania wengi.
Kwa sasa walioko juu hakuna mwenye akili timamu inauma kwakweli.Watanganyika π
Unafiki ni kitu kibaya sana. Wazanzibari wala hawana unafiki, kwao nyeupe ni nyeupe tu!Kwa sasa walioko juu hakuna mwenye akili timamu inauma kwakweli.
Mkuu Mzazi wangu anaishi kule nakwenda sana.Jamaa wameweza kutengeneza kizazi Cha kizalendo sijui wamefanyaje?.Tanganyika ni Janga kuu.Unafiki ni kitu kibaya sana. Wazanzibari wala hawana unafiki, kwao nyeupe ni nyeupe tu!
Wale jamaa watatofautiana kwenye vitu vingine, lakini kwenye suala la nchi yao wanaungana wote. Sijui walifanyafanyaje aisee!Mkuu Mzazi wangu anaishi kule nakwenda sana.Jamaa wameweza kutengeneza kizazi Cha kizalendo sijui wamefanyaje?.Tanganyika ni Janga kuu.