Tetesi: Asili ya jina Iddi Amini " Dada"


Mungu amlaze mahala pema peponi...huyu alikuwa mwanaume bwana
 
Kuhusu historia ya IDDI AMIN yabidi uwe nje ya box wakat wachangia mana tulivishwa iman ya kumuona iddi amin na stori nyingi za kutunga ili kuchochea mi hemko ya kumchukia hadi kupigana nae na hiyo hufanyika sana na viongozi weng. mambo ya kula nyama za watu sijui dikteta sijui hili au lile siyo yakuamin moja kwa moja
 
Unajishushia heshima mkuu LIKUD kwa hili umechemsha kuna mengi unachambua au kuyawaslisha vizuri sana ila usiingize watu chaka kisa wanafuatilia mada zako kwamba kila andiko lako lina ukweli nasema kwa hili hapana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anasomea umadhahabu, kila akija msichana kumtembelea anasema ni dada , wadada wakawa wengi lakini baadae alipigwa chini ,sijui ni kosa gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah..hz propaganda as zishafanikiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alipewa jina na Brigedia wa jeshi la uingereza baada ya ku practice polygamy kitu ambacho wallikikataa wazungu kama kigezo kutoa msaada, hivyo akawa anawa tambulisha ma hawala, na wake zake wengine kama dada zake,
 
 
Kungekuwa na jukwaa la comedy lingefaa

Sent from my SM using Tapatalk
 

Hakua anaitwa Dadaa alikuwa anaitwa "Dadah"
 
pia kwenye hii makala hapa chini wanasema alipewa jina hili baada ya kupenda kulitumia kila aliposalimu mwanamke

Idi Amin Dada
 
Hii naamini ilikuwa propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…