Acheni kumsingizia Amin hakula nyama za watu we umeona movie ukaaminiNdio hasahasa nyama za wanaume na za mabinti bikira.. Wanaume alikuwa anachemsha ma.pumbu na mb.o anakula kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume na mabinti bikira alikuwa anakula nyama zao na kunywa damu zao kwa ajili ya kupandisha na kuimarisha nyota yake
Mkuu una uhakika kuwa idd Amin alikuwa anaongea kiswahil??Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.
Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.
Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada
Mkuu hapo kwenye exile umenikumbusha mbaliWalikuwa wanaenda kuchapwa nao..we hujawahi kukaa hostel mademu wanakuja kukutembelea unawapiga exile washkaji? That's what am talking about
Ukweli ni upi mkuu?Unajishushia heshima mkuu LIKUD kwa hili umechemsha kuna mengi unachambua au kuyawaslisha vizuri sana ila usiingize watu chaka kisa wanafuatilia mada zako kwamba kila andiko lako lina ukweli nasema kwa hili hapana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili ni lugha wa wanajeshi kwa Ugandainawezekanaje hiyo na uganda first language yao ni kiingereza
Alikuwa anaongea kiswahili kwani Waganda hawakipendi kiswahili wanasema ni lugha ya watu wasiyo na elimu, na wakati huo wanajeshi wengi walikuwa wana elimu ndogo na communication language yao ilikuwa kiswahili
Napenda huyo jamaa afufuke aiongoze Afrika.Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.
Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.
Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada
Eid amini alikuwa mtu wa watu, binafsi nilikuwa namkubali sana huyu comando...Mungu amlaze mahala pema peponi!Acheni kumsingizia Amin hakula nyama za watu we umeona movie ukaamini
Sent using Jamii Forums mobile app