Tetesi: Asili ya jina Iddi Amini " Dada"

Tetesi: Asili ya jina Iddi Amini " Dada"

Ndio hasahasa nyama za wanaume na za mabinti bikira.. Wanaume alikuwa anachemsha ma.pumbu na mb.o anakula kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume na mabinti bikira alikuwa anakula nyama zao na kunywa damu zao kwa ajili ya kupandisha na kuimarisha nyota yake
Acheni kumsingizia Amin hakula nyama za watu we umeona movie ukaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.

Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.

Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada
Mkuu una uhakika kuwa idd Amin alikuwa anaongea kiswahil??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongezea,na neno "dingi" lilitokana na aliyekuwa babake na shakazulu mfalme wa wazulu.aliyeitwa Dingishwayo.
 
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.

Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.

Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake "Huyu ni Dada yangu" .
Madada walikuwa wengi sana kiasi wanajeshi wenzake na Amini wakampachika jina Dada .
So wakawa wanamuita Iddi Amini Dada
Napenda huyo jamaa afufuke aiongoze Afrika.
 
Back
Top Bottom