Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Bukoba ingeweza kuwa uganda maana mnaongea lugha zinafanana.Ekyarani ni Kihaya
Kwa kiswahili ni Cherahani siyo Cherehani.View attachment 3226411
Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa
Charan Singh .
Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN.
Waganda walilikubali jina hilo na kuliita EKYALAANI.
Waswahili pia wanaita “CHEREHANI” hadi leo..
SItakubaliana na wewe kwa wakati huu ila nitafuatilia kwa karibu kama ni kweli.Kwa kiswahili ni Cherahani siyo Cherehani.
Hapa mimi nilisikia tofauti,Ni Kweli Mkuu!
Kwani hata Kariakoo na mnazi mmoja unadhani kwanini kumeitwa ivo?
Kariakoo palikuwa na mama anauza gongo grade one! Wazungu wakaja wakajaribu siku moja ... Wakasema "Kali ya Koo yaani" wakimaanisha ni Kali kwenye Koo!
Basi wakawa wakiwa wanataka kwenda kunywa wanasema twende pale kwenye kariakooo!
Je mnazi mmoja unajua jina limetoka wapi?
Ni sawaHapa mimi nilisikia tofauti,
Nilipata kusikia zamani wakati soko likiwa bado wafanya biashara wengi ni white sasa waswahili walikuwa wakipenda kushangaa sana tena wakichukulia kama ndio out yao kitendo ambacho white walikuwa hawapendi hivyo wakawa wanawahimiza kama kuna manunuzi yoyote wanunue wabebe mizigo yao waondoke.
Sasa walikuwa wakitumia lugha yao
"Carry on and go"
sasa waswahili wanasemezana wenyewe kuwa wanasemaje hao? Na kujibiana kuwa mimi nimesikia anasema kariakoo.
Kwa Kariakoo umetudanganya mkuu. The name "Kariakoo" is derived from the swahilization of the British colonial occupation's "Carrier Corps", that used to be based in the area. Eneo hilo lilikuwepo Ghala la Jeshi (KAR) la Mkoloni (British) waswahili wakashindwa kutamka "Carrier Corps" wakawa wanatamka "Kariakoo" ndipo jina la kariakoo lilipozaliwa.Ni Kweli Mkuu!
Kwani hata Kariakoo na mnazi mmoja unadhani kwanini kumeitwa ivo?
Kariakoo palikuwa na mama anauza gongo grade one! Wazungu wakaja wakajaribu siku moja ... Wakasema "Kali ya Koo yaani" wakimaanisha ni Kali kwenye Koo!
Basi wakawa wakiwa wanataka kwenda kunywa wanasema twende pale kwenye kariakooo!
Je mnazi mmoja unajua jina limetoka wapi?
Hapo Uzi tayari tuanze kucomment? Au bado unarudi kumalizia?View attachment 3226411
Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa
Charan Singh .
Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN.
Waganda walilikubali jina hilo na kuliita EKYALAANI.
Waswahili pia wanaita “CHEREHANI” hadi leo..
Uko sahihi kabisa ulichokiandika hiyo ndio ilizaa jina kariakoo 🙏🙏🙏Kwa Kariakoo umetudanganya mkuu. The name "Kariakoo" is derived from the swahilization of the British colonial occupation's "Carrier Corps", that used to be based in the area. Eneo hilo lilikuwepo Ghala la Jeshi (KAR) la Mkoloni (British) waswahili wakashindwa kutamka "Carrier Corps" wakawa wanatamka "Kariakoo" ndipo jina la kariakoo lilipozaliwa.
Zamani Wahehe walikuwa Wanaitwa Wana-Mtwa.View attachment 3226411