Au
Au uganda ndo ingekuwa bukobaBukoba ingeweza kuwa uganda maana mnaongea lugha zinafanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au uganda ndo ingekuwa bukobaBukoba ingeweza kuwa uganda maana mnaongea lugha zinafanana.
Sijaelewa. Yeye anakumbukwa kwa kuwa fundi cherehani. Alikuwa anatengeneza cherehani?View attachment 3226411
Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa
Charan Singh .
Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN.
Waganda walilikubali jina hilo na kuliita EKYALAANI.
Waswahili pia wanaita “CHEREHANI” hadi leo..
Ni fundi wa kushona nguo.Sijaelewa. Yeye anakumbukwa kwa kuwa fundi cherehani. Alikuwa anatengeneza cherehani?
He HeZamani Wahehe walikuwa Wanaitwa Wana-Mtwa.
Walipokiwa wakipigana na wajerumani huku wao wakitumia mishale na mikuki, wajerumani wakitumia bunduki, ikawa wajerumani wakifyatua risasi, wenyewe wanajikunga na ngao. Wakawa wanashaa inakuwaje tunajikinga lakini tunskuwa. Katika kushangaa wakawa wana "He he" kila wenzao wakidondoka wanasema "He hee" huku wanakimbia.
Kuanzia siku hiyo wakaitwa "Wahehe"
×××××××××××××××××××××××××××××××××
Kuna siku maeneo ya Tukuyu , ilikuwa mwaka 1901 alikuja mzungu na baiskeli yake. Watu wakakusanyika kumshangaa anavyoiendesha.
Akauliza kama kuna yeyote kati yetu anaweza kuendesha ampe ajaribu. Akajitokeza mmoja wetu, tukapinga sana kwamba hawezi, yule mzungu akasema muacheni ajaribu, basi jamaa alipopewa, kwa maajabu tukashangaa anaendesha.
Ndipo yule mzungu akauliza, mlikuwa mnamcheka si mmeona? Sisi tukskubali yaishe, tukasema "Basi kweli kaweza".
Jamaa akawa akitutambishia sana, hata tukiwa na story nyingine yeye anatumbukizia za kuendesha kile chombo, sisi tukawa tunamjibu "basi kweli".
Huo ndiyo ukawa mwanzo wa jina baiskeli.
Zingatia: Mwaka ni 1901
Ni mzee Mboto alipotea wakamtafuta hakupatikana asilani...lakini maeneo hayo wakapata gongo lake la kuwindia...mpaka leo panaitwa gongo la mboto...inasadikika aliliwa na mnyama mkali.Haya Tuendelee hapo mnazi mmoja palikuwa ni shamba la mizanii la Mzee kwingeee!
Ilikuwa mizani mingi sana! Kukatokea moto, minazi yote iliungua kasoro mnazi mmoja tu!
Basi watu wakawa wakiwa wanataka kwenda hapo wanasema
Pale mnazi mmoja ndo mpaka Leo.
Je Gongo la mboto unajua asili ya Jina lake?