Asili ya jina la “CHEREHANI”

Sijaelewa. Yeye anakumbukwa kwa kuwa fundi cherehani. Alikuwa anatengeneza cherehani?
 
He He

Mkuu hii sio Chai kweli?
 
Ni mzee Mboto alipotea wakamtafuta hakupatikana asilani...lakini maeneo hayo wakapata gongo lake la kuwindia...mpaka leo panaitwa gongo la mboto...inasadikika aliliwa na mnyama mkali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…