Na jina la Kabila la NGONI, ni Jina la Chief wa kwanza wa Kizulu wa South Africa, ambapo hao Wangoni walitokea....!
Chief huyo wa kwanza aliitwa NGONI ambaye alikua ni Chief aliyekubarika na Makabila yote ya South Africa, kama Wazulu,Khosa, Tsutu, Venda n.k, baada ya kufariki, kukatokea Mapigqno ya kugombania Madaraka, ambapo Shakazulu akafanikiwa kuwashinda wenzake na kuchukua Kiti Cha U Chief, baada ya kuchukua Madaraka, akaanzisha Operation ya kuwaua wote waliompinga, hao ndiyo Wazulu wengi wakakimbilia Zimbabwe wakaitwa Ndembele, wengine Mozambique wakaitwa wamashangani, wengine wakaenda Malawi, wengine Zambia, na hao wote wanaongea Lugha Moja yenye Majina tofauti.
Na Wazulu waliokuja Tanzania wakajiita Wangoni Kwa heshima ya Chief wao wa kwanza....!
Waliwashinda kiurahisi Wenyeji wa kusini Kwa sababu Wazulu ni Watu wa Vita Toka wakiwa South Africa.