hongera zake, lkn nahisi si dini yake ndo inayosababisha asitambulike lkn sera mbovu za chama cha magamba kutowaenzi wananchi wake. mbona akina kawawa, akina sykes na wengine wengi wameandikwa ktk historia ya nchi hii, km ingekuwa ni dini hilo jina lingekataliwa toka enzi hizo. km ni kweli basi huyu mtu hajatendewa haki kabisa hajaandikwa ktk kitabu chochote cha historia wala sijawahi soma sehemu yeyote ile inaelezea kulikuwa na shindano la kubuni jina la Tanzania. wanasema tu kuwa Tanzania ni muunganiko wa majina mawili tanganyika na zanzibar. lkn ndo mfumo wa kijamaa huo historia hupendelea watawala tu