Pale waliunganishwa tu hakukuwepo na hizo vitu, urembo wa kwenye ndoa hizo.Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala
Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe..Hivi hiki kiapo ni kimoja kwenye dini/madhehebu yote???
Mkuu hivi viapo vipya vikoje na vinatolewa na kina nani?Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app