Asili ya kiapo cha ndoa

Asili ya kiapo cha ndoa

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Habari wakuu.

Najua JF ni bahari. Kuna watu wote humu, sasa shida yangu kuu ni kujua asili ya kiapo maarufu cha ndoa; "Mimi nchikavu nimekupokea wewe le mbebs uwe mke wangu wa ndoa". Hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asili yake ni wafungisha ndoa wa kwanza miaka ga nyuma huko ughaibuni waliona ikiwa hivyo yafaa ndipo ikasambaa kwa makanisa yote leo.

Kwenye maandiko kitu kama hicho hakipo na kama kipo nitatoa zawadi kwa atakayeleta reference.

 
Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala
Pale waliunganishwa tu hakukuwepo na hizo vitu, urembo wa kwenye ndoa hizo.
 
Back
Top Bottom