Hivi wewe, umesoma hata kidogo mambo ya "genetics?" Ulizia kuanzia Wasomali wa Somalia, Amhara, Tigrey na Oromia wa Ethiopia, Issas wa Eritrea na Djibouti, Nubia wa Sudan na hao black wa Misri juu ya asili ya genes zao. Hao ni uzao wa binadamu uliorudi barani Afrika baada ya mababu kuhama Afrika miaka kati ya 100,000 - 60,000 iliyopita. Baada ya kuwa wamehama walirudi na kuishi maeneo hayo ya Kaskazini mwa Jabgwa la Sahara na kuenea eneo lote la Kaskazini mwa Afrika ambayo waliitwa Waberiberi hadi Jangwa la Sahara kwa Watuaregi na hadi Kusini mwa Sahara katika eneo la Savannah (Sudanic States) ambako kuna Wahausa waliochanganyana na Wafulani na ambako ndiko ukanda huu ambao Western (Sudanic/Savannah) States - Ghana, Mali, Songhai na Kane Bornu zilisitawi.
LA MUHIMU TOFAUTISHA MTU BLACK DHIDI YA MTU MWAFRIKA - SIYO WAAFRIKA WOTE NI BLACK NA SIYO BLACK WOTE NI WAAFRIKA.
Hivyo jamii karibia zote zilizoko Mauritania, Morocco, Algeria, Tunisia, Libya, Misri, Ethiopia, Djibouti, Eritrea, Somalia na Sudan, pamoja na baadhi ya jamii zilizoko Chad, Niger, Mauritania, Kenya na Tanzania (Wambulu, Wafiome, Wambugu na Waalagwa are more whites than they are blacks coz wako kwenye kundi la Semites na Hamites ambayo ni sub-groups of a large group of Whites (CAUCASIAN).
Ndg naona walimu wako walikua wale waliokariri kisha wakaja kukufundisha. Nakuelewa unajaribu kuchanganya historia ya watu wa kale kupitia biblia (HAM, SHAM NA YAFET OR HAMITES, SHEMITES (SEMITES) AND YAFETH kama watoto wa Nuhu (Patriarch Linage).
Afrika kuna aina 3 ama 4 za WATU.
- Hunter and Gather ambao ni WASANDAWE na WAHADZABE
- BANTU eg Chagga, wasukuma, Makua, Wahaya N.K, Ha ni wakulima, wachumi, watafiti, Mainjinia na watabibu
- NILOTIC eg Maasai, Jaluo, Dinka, Nuer, Sara , Kalenjin N.K, hawa ni WAFUGAJI na wakuhamahama
- CUSHITIC eg Oromo, WaSomali, WaBeja na Waburunge , Ni wakulima na Wafugaji, Wachumi na watafiti.
Ili kufwatilia ni kizazi kipi ni cha Mwanzo, ni rahisi ukiwa unapima Y DNA haplogroups - na mtDNA Mitochondrial DNA za aina hizo za watu, utakuja kugundua kuwa Wasandawe ndio Old People of the Earth na Kufwatiwa na Bantu ambao wote wana Y-DNA Haplogroup E1B1A na Nilotic na Cushitic wapo kwenye pool la E1BIB.
Hivyo jiulize kwa nini Bantu wana Original Y-DNA Pool ya E1B1A ambao ndio wanayo Oldest people of the earth SANDAWE? Na sio E1B1B?
Na kwanini WAZUNGU na WATURK A.K.A Waarabu weupe waliwalenga sana Bantu kwenye WORLD CRIMINAL ENTERPRISE A.K.A SLAVE TRADE?
Ukijibu maswali haokwa ufasana na usahihi, utajua kwa nini, Eneo lote la Afrika Kaskazini na Afrika Kaskazini Mashariki (YEMEN, CAANAN, PALESTINE, SAUDIA, OMAN, SYSRIA , IRAN NA IRAQ) Bantu walihama kabisa na Kuhamia Afrika Magharibi, Kati, Kusini na Mahsariki. Wengine wakaelekea iNDIA, Australia, na MILANGO YA Magharibi (Leo Amerika ya kusini, kati na Kaskazini)
Hakuna sehemu mbao Dunia imeshuhudia vita za mara kwa mara takribani milenia 6 sasa kama eneo la Egypt na Ardhi ya Kanaan, syria, Saudia, Uajemi na Mesopotamia. Hizi vita ziliwachosha sana mababu zetu ndipo wakahamia Enelo lote la Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hivyo hata hao Wa Kushi na WaNaili, sio wote waliorudi baada ya kutoka Afrika. Wengi walibakia humuhumu Afrika.
NI dhambi kubwa sana Kumuhusisha Yaphetite na Afrika hasaKusini mwa Jangwa la Sahara. Caucasian ni midudu a.k.a makabila yote ya aina ya kizungu ndio iliokuja kuchafua damu za binadamu kamili (mix breeding) na kwa lengo la kuspoil identity ya Jamii fulani. Ndio maana kushitec wengi wana mchanganyiko na Facial phenotype yao ni yakizungu nakituruki (waarabu weupe).
Na Mix Multitude wa Misri, Libya, Morocco, Algeria, Tunisia, na kidogo Mauritania, hawa sio wenyeji wa Eneo hili, historically, they are not the Original Inhabitant of this North Africa, Bantu, bERBERS, nILOTIC AND cUSHITIC NDIO WENYE MAENEO HAYO NA WALIYAACHA KUTOKANA NA KUCHOSHWA NA MAVITA YASIOISHA.
Hivyo civilization ya maeneo hayo sio wajenzi wala hawana milki ya urithi wake. spiritually, tunasema the day will come, and the owner will have to declare back their inheritance.