Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

we ndio sumbukuku kweli. hata huelewi chochote juu ya Bill Gates, huyu sio programmer ever, muulize Bill Gates kuwa Paul Allen alikua nani katika Microsoft? Microsoft Company ilikuzwa na programmer anaitwa Paul Allen ambae alitoka kampuni ya IBM na kwenda kumnyanyua Bill. Acha kurukia gari kwa mbele, ukasahau nyuma kuna ngao. kifupi mimi ni IT EXPERT NILIEBOBEA KWENYE INFO SEC, ndio fani inayonipa heshima TZ bara na Zanzibar.

Hua sipendi kufundisha watu vilaza waliolazwa na waalimu vilaza. Half of our stories have never yet been told.
Kiongozi jitahidi unavyomjibu mtu umu-quote kwanza huyo mhusika maana unaweza ukawachanganya wengine wakadhani umewajibu wao kwani anaweza kutokea mtu akapost kitu mapema kabla ya wewe na hivyo kudhaniwa unamjibu aliyemaliza kupost.
 
Ndugu mleta mada (Mgambilwa ni mntu) naomba uielezee ikiwezekana kwa undani hiyo ramani uliyoiweka mwanzoni kabisa mwa mada yako.
Yaani uelezee hizo rangi kiundani, mishale inayoonesha movements(namna binadamu alivyotoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Pia ungeelezea hiyo miaka iliyowekwa kwenye ramani, kwamba nini kilitokea wakati gani, itakuwa vizuri ukielezea kuanzia Afrika kwenda mabara mengine kwa kuwa inaaminika mwanadamu alitokea Afrika(kwa dhana moja kati ya nyingi).
Nimeshindwa kukujibu coz nimekuwa bize sana nikiandaa andiko linalohusu Tanzania, so najua utanivumilia kidogo.
 
Kaka hapa umeleta maada mzito na yenye maudhui mapana sana sii tu kwa jamii zile za kale pia hata hizi jamii za siku hizi bado wanalia njaa, na Wiki mbili zilizopita nilikuwa Manyara nikimaanisha pale babati, nikaelekea mbulu na ziara yangu ikaishia kata ya Haydom nikarudi Dar.

THE WORLD KNOWS US, BUT WE DONT KNOW OURSELVES, THE WORLD DEPLOYS THEIR THINK TANKERS PURPOSEFUL TO STUDY US AS WELL AS TO RESEARCH US WHAT WE ARE THINKING NOW ABOUT OURSELVES, AT WHAT LEVEL DO WE ACTUAL KNOW WHAT TO DO IN ORDER TO OVERCOME OUR DEADLY SITUATION ECONOMICALLY, SOCIALLY, CULTURALLY AND SPIRITUALLY.

HAVE WE AWAKENED TO KNOW THE REASON OF BEEN YAHWEH'S PEOPLE ON EARTH? OR ARE WE STILL DEAD MENTALLY AND SPIRITUALLY?

Kuna viumbe hua vinaheshimu na kulinda sana mazingira ya uasili (Protectors of Nature) kama ndio njia ya kudmisha uhai na uwepo wao. Hili ni swala la Kiroho sana. Viumbe hivi hupenda na hupendwa na nature kwa vile ndio chanzo cha uwepo wetu. Kuheshimu kwao NATURE, Kulinda kwao NATURE, huwafanya wawe na maarifa makubwa ya kukabiliana na athari yeyote wanayokumbananayo katika mazingira yao. They are not Corrupted or Polluted beings, they are not defiled and they are not Materially beings.

Kupungua kwao kwa idadi inatokana na sisi kuwapolute kwa kuwanyang'anya maeneo yao ambayo wamepreserve kwa miaka bilioni eti kuwapa wawekezaji ambao ni Wazungu. Cha ajabu hao wazungu wanakuja kuwinda kama wao, wanakuja kuharibu mazingira kwa kuchimba Vito ambavyo ni Materially objects ambavyo kwa jamii hii, hawaitaji.Hawa ndio bin-adamu (The purest house of Human), twaweza kufahamu dawa za asili kupitia jamii hizi na tukaongeza manjonjo zikawa ni dawa za kisasa.



Pia Wazungu huwazingira hawa kwakuwafanyia utafiti, hujifunza mambo mengi sana kupitia jamii hizi kwani zina siri mzito sana, kama elimu ya science ya anga za juu. Tusidhani kama wazungu wanakwenda maeneo haya kutembelea Wanyama, La hasha, wanafaidika sana na Jamii hizi ambazo kwa namna nyingine sisi tunawadharau.

Kuhusu ndg zetu wanaozunguka Maziwa kuwa na Njaa, nadhani hapa kuna mambo lazima tuyatazame kwa jicho la Tatu.
Mosi, jamii hizi huwa ni jamii zinazojishughulisha sana na UVUVI na si UKULIMA.
Pili, Mifumo ya Serikali ni ya ukandamizaji, huchochea woga wa kuthubutu kwa kuhofia kukamatwa na kufungwa
Tatu, Heshima na Woga wa Serikali kwenye Mikataba ya Kilofa ya matumizi ya Maji ya Mito na Maziwa chini ya wakoloni
Nne, Urithi wa UVIVU wa vizazi vilivyo zunguka Mito na Maziwa.

Maoni na Mapendekezo: Afrika ibadili majina ya washenzi wa Ulaya katika Mito, Milima, na Maziwa yetu katika mitaala yake kuanzia shule za AWALI hadi Vyuo Vikuu.
Pia, Vitabu vyote vya mitaala na kiada, zisiwekwe kabisa picha za WAZUNGU, WAARABU, WAHINDI NA WACHINA.
Mikutano inayofanyika ya Serikali Kuu na Taasisi zote, wasiwapo WAZUNGU, WAARABU, WAHINDI NA WACHINA unless otherwise kuna mtu sio watu, Mtu kaalikwa kwa utaalamu wake.
Pia Serikali ianzishe operation Ondoa Njaa kamaenzi za Mwalimu, Kila Kijana katika kaya lazima awe amelima Hekari 5 za Mahindi ama Mpunga, Ulezi, Uwele mtama na Maharagwe na Serikali itoe ruzuku kwa wakulima wote nchini na ijiwekee malengo ya kuhakikisha kila kijiji kunakuwa na Tractor 3 kwa kuanda Jamii iwe ndio wawekezaji wakubwa wa kilimo.
Hapa Njaa haitakuwapo, hatutakua na utegemezi tena, na Nchi itakuwa na Uchumi IMARA na Endelevu.

Excellent.
 
Nimeileta hii mada kwa lengo la kuwaandaa kisaikolojia juu ya mada nyingine "very controversial" but critically very "necessary" ambayo huwa ni very emotional. Na hiyo inatarajia kuibua mijadala ya:
  • Chanzo cha tofauti kubwa ya kiakili darasani (formal education) kwa jamii za kitanzania.
  • Sababu za Waafrika kukwama kimaendeleo kulinganisha na binadamu wengine.
  • Umuhimu wa kuelewa elimu za watumishi wote wa umma ili kupunguza hisia za kubebwa vilaza.
  • Kurekebisha kasoro zinazoendelea kukua kati ya jamii za kitanzania, hasa ya kuwa na shule za sekondari za kata, kwani zinasababisha jamii nyingi kuendelea kujitenga zaidi.
Tatizo kubwa ambalo mnaweza msilione ni kwamba, zamani shule karibia zote za Serikali zilikuwa za bodi na wanafunzi walipelekwa mbali na kwao. Huko walipata kazi huko huko ama walioa huko na hivyo kupunguza taratibu tofauti hizo. Lakini kwa sasa shule za kata zimeibua tena ule ukabila na ukanda kutokana na vijana kusoma maeneo yao na kuajiriwa bila kuwahi kufika kwingine.
Kwa mfano kesho likitoka agizo kuwa shule zote za kata ziwe na mabweni ili kuruhusu wanafunzi wa maeneo mengine kusoma itasaidia kupunguza hicho unachodhani kuwa ni ukabila na ukanda?
 
we ndio sumbukuku kweli. hata huelewi chochote juu ya Bill Gates, huyu sio programmer ever, muulize Bill Gates kuwa Paul Allen alikua nani katika Microsoft? Microsoft Company ilikuzwa na programmer anaitwa Paul Allen ambae alitoka kampuni ya IBM na kwenda kumnyanyua Bill. Acha kurukia gari kwa mbele, ukasahau nyuma kuna ngao. kifupi mimi ni IT EXPERT NILIEBOBEA KWENYE INFO SEC, ndio fani inayonipa heshima TZ bara na Zanzibar.

Hua sipendi kufundisha watu vilaza waliolazwa na waalimu vilaza. Half of our stories have never yet been told.
Awaambie watoto wake kuwa babylon system is the vampire.
Mkuu unafanya kazi nzuri sana ya kuwaelimisha watu.
Tatizo hata reggae za Bob awasikilizaji.
 
Kwa mfano kesho likitoka agizo kuwa shule zote za kata ziwe na mabweni ili kuruhusu wanafunzi wa maeneo mengine kusoma itasaidia kupunguza hicho unachodhani kuwa ni ukabila na ukanda?
Swali kuntu mdau but la muhimu ni kuwa, katika social life huwa hakuna jibu moja kwa kila swali/suala. Hivyo natarajia mengine kutafafanua nitakapowasilisha andiko langu. La muhimu ni kuwa, hatua alizochukua Baba wa Taifa, ni nyingi mno na za maana japo kuna moja aliikosea na kwangu ndio ninaiona kikwazo kikubwa cha kuimarisha utaifa wetu. Sooner or later, nitayaeleza vyema.
 
Gud observation Mzee. Najitahidi kumalizia bandiko langu la Tanzania, hapo ndio mjadala utatuhusu watu wote na utakuwa mpana sana.
nimefurahi kuona huu mjadala umewafanya kuwa kitu kimoja mwanzo mlikuwa mnabishana vizuri tu kwahoja nabaada yakuona kuwa hoja zenu zinamlengo mmoja mzuri kwaajili yakumfanya mwafrica ajitambue basis mmeamua kuweka tofauti zenu pembeni nakukubaliana kimawazo....nilikuwa nafuatilia mjadala wenu vizuri kabisa... you guys ni real magreat thinker mko vizuri mnooooo
kongole kwenu
 
View attachment 586451 Ulimwengu tuishimo na vitu vyote vilivyomo umetawaliwa na binadamu. Hata hivyo kutokana na tofauti kubwa ya binadamu kuna ambao wameitawala "nature" lakini wengine bado hiyo "asili" imewatawala. Hiyo ni kwa sababu ya uwezo tofauti wa kiakili ambao wanadamu wanaonyesha. Kulingana na sayansi na historia, binadamu wa leo ni matokeo ya evolution ya muda mrefu iliyotokea miaka milioni 3 iliyopita.
Utofauti wa wanadamu kubadilika kutoka kuwa weusi kisura na kuwa weupe ulianza baada ya uhamaji wa awali kutoka Afrika miaka 400,000 iliyopita na wa pili kati ya miaka 100,000 - 60,000, kipindi ambacho binadamu weusi walihamia Mabara mengine kupitia eneo la Mlango Bahari wa Bab al Mandab nchini Djibouti lililokuwa limeungana na Arabia. Hiyo ni kwa kuwa nje ya Afrika, eneo kubwa lina baridi.
Mabadiliko ya kiakili yalitokea baadaye hasa miaka ya 10000 BC baada ya vizazi na vizazi kuishi katika maeneo hayo ya nje ya Afrika hasa Fertile Crescent (Levant) na kwenye mito mikubwa ya eneo hilo ipitayo majangwani, kama Bonde la Mto Naili (Egypt) na Euphrates na Tigris (Iraq), yakiwa na sifa kuu zifuatazo:
  • Uwepo wa maji ya kutosha kutokana na mito mikubwa.
  • Uwepo wa udongo wenye rutuba (alluvial) na rahisi kulimika (kwa miti) kwenye kingo za mito.
  • Uwepo wa vyanzo vya kutosha vya samaki hasa mito na maziwa.
  • Uwepo wa joto la kadri kukuza mazao.
  • Uwepo wa mazao yanayositawi kwa urahisi, hasa ngano.
  • Kutokuwepo kwa misitu minene na hivyo kuwa rahisi kuanzisha makazi na mashamba.
  • Kutokuwepo kwa magonjwa ya kitropiki, hasa malaria, yellow fever na sleeping sickness.
  • Kutokuwepo kwa jua linalochoma (scorching sun), lililowezesha kutunza energy zao.
  • Kutokuwepo kwa baridi kali kama iliyoko nchi za Kaskazini mwa dunia.
Sababu hizo ndizo zilisababisha jamii zilizoishi maeneo yenye Hali hizo kuanza Neolithic Revolution kati ya miaka ya 10,000 bc - 8,000 bc ambapo binadamu alianza kupanda mbegu kwa kusia ngano mashambani (maeneo laini yaliyotifuliwa kwa miti) na kuanza kufuga wanyama wakiwemo ng'ombe na mbuzi. Aidha, kutokana na wanadamu hao kufanikiwa kuzalisha chakula kwa wingi kulipelekea kuibuka kwa Civilizations za kwanza kabisa duniani katika eneo la Mesopotamia (Sumerian na Babylonia), Misri na China kuanzia miaka ya 4000 BC, kutokana na maeneo hayo kuwa na sifa hizo hasa maji ya kutosha licha ya kuwa majangwani.
Jamii hizo za Mashariki ya Kati zilianza matumizi ya zana za chuma mapema kabisa ambapo ilipita miaka mingi kabla ya teknolojia hiyo kuletwa kwetu Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara kupitia Dola ya Meroe (Sudan) kutokea Misri kwenye miaka ya 400 BC. Kwa hiyo Wabantu waliohama kutoka Cameroon mwaka 1500 BC walikuwa hawajaanza kumiliki teknolojia ya chuma ila walikutana nayo njiani kupitia kwa Nilotes wanaoishi Ukanda wa Sudan (Savannah).

Hata hivyo, kwetu Afrika, kutokana na uwepo wa mvua nyingi, chakula kilikuwa kikipatikana kwa wingi na kwa urahisi na hivyo kufanya akili za binadamu wa Afrika kutojishughulisha sana kama wenzao wa nje ya Afrika ambao walikuwa katika mazingira magumu ya majangwa na baridi kali. Waafrika waliendelea kupata chakula chao kupitia uwindaji wa wanyama, kuokota matunda ya mwituni na kula mizizi. Hivyo mababu zetu hawakuchanganya akili sana kama wenzao kutokana na kutokuwa na uelewa juu ya kilimo na ufugaji. Hivyo kwa yule Mwafrika aliyekuwa na akili sana bado hakuwa na tofauti kubwa na asiye na akili kwa kuwa wote hawakujishughulisha sana na utafutaji wa chakula kama wale waliohama kutokana Afrika. Kwa wanadamu waliohama Afrika ambao walikuwa dhaifu hawakuweza kustahimili mazingira magumu na hivyo vizazi vyao vilifutika duniani na kuacha waliokuwa na nasaba bora wakistahimili mazingira hayo magumu (Refer the Theory of Survival for the Fittest).
Binadamu hao waliotoka Afrika kutokana na kuchangisha sana akili zao waligundua ufugaji wa wanyama hasa mbwa, ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku na bata, miaka kati ya 13000 - 6000 BC. Vilevile, waligundua namna ya upandaji wa mbegu kwenye mashamba yaliyotifuliwa kwa kutumia miti (kipindi kabla hawajagundua kuyeyusha metali "metallurgy") kwenye udongo laini wa mabonde ya mito. Na hawa ndio waliogundua chuma baadaye kwenye 2000 BC na hivyo kuweza kuzalisha chakula kingi zaidi na kuimarisha ulinzi dhidi ya wanyama wa mwituni na jamii nyingine maadui. Uwezo wa chakula cha ziada, ulipelekea kukua kwa shughuli za huduma na maspecialists, kama waashi, wahunzi, askari wa kudumu, viongozi wa dini, na wengine wengi. Nadhani mtakumbuka ujenzi wa Mnara wa Babeli, ambao ni matokeo ya uzalishaji mkubwa chakula cha kulisha watu wengi wasiolima na hivyo walitaka kung'ang'ania eneo moja ili wasitawanyike (vyanzo vya dini ndo vinavyoripoti).
Mambo haya hayakuwezekana kamwe kwenye jamii za kiafrika kipindi hicho kutokana na kutozalisha chakula cha ziada, hivyo kila mtu alipaswa kujua karibia kazi zote (Mpaka sasa sisi Waafrika specialization bado iko nyuma kwani hata mwanachuo analazimishwa kusoma vitu vingi mno).

Teknolojia ya ufuaji wa chuma na utengenezaji wa zana za chuma ilipelekea kuongezeka kwa watu wengi Afrika Kusini mwa Jabgwa la Sahara lakini ilikuja kwa kuchelewa kutokea Mashariki ya Kati, tofauti na mabara mengine ya Old Lands (Asia na Europe).
Ili muone faida ya mapinduzi ya zana za chuma, Wabantu walitokea Cameroon kwenye miaka ya 1500 BC bila teknolojia ya chuma hadi baada ya miaka ya 400 BC. Ndiyo maana walianza kusambaa kwa wingi na kuweza kuvamia na kuzishinda jamii nyingine zote za Kusini na Mashariki ya Afrika za San na Pygmy (na hata Cushites - Mbulu, Gorowa na Mbugu) ambao ndio wakazi wa asili wa eneo hilo na ambao hawakuwa na teknolojia ya chuma. Hata hivyo, Wabantu walishindwa tu kwa Nilotes pekee (waliotokea Sudan) mfano Wajaluo kwa Tanzania.
Nawasilisha hoja.
Duh
 
nimefurahi kuona huu mjadala umewafanya kuwa kitu kimoja mwanzo mlikuwa mnabishana vizuri tu kwahoja nabaada yakuona kuwa hoja zenu zinamlengo mmoja mzuri kwaajili yakumfanya mwafrica ajitambue basis mmeamua kuweka tofauti zenu pembeni nakukubaliana kimawazo....nilikuwa nafuatilia mjadala wenu vizuri kabisa... you guys ni real magreat thinker mko vizuri mnooooo
kongole kwenu
Yes, nimehamishia nguvu kwa Tanzania sasa. Nikikamilisha la Tanzania, nitakngia Afrika Mashariki ili niwaonyeshe vitu ambavyo huwa mnavisikia tu na kubaki kujiuliza why?
 
Mkuu, naomba kukukumbusha kuwa we are still waiting for you.Usisahau kuni-tag
Dah!! Kitambo ndugu nimeachana na mambo ya asili ya intelligent za wanadamu na kweli nilikuahidi kipindi kile wakati nilipowekeza nguvu kwa Tanzania.
Nadhani ulinitaka nifafanue ile mishale ya uhamaji katika mabara mengine. Nakuahidi nitaelezea hivi karibuni kwa sababu ni topic ndefu na ngumu kidogo ila nitajitahidi kufupisha na kujibu kulingana na maswali yenu. So pliz let's wait a little bit.
 
Dah!! Kitambo ndugu nimeachana na mambo ya asili ya intelligent za wanadamu na kweli nilikuahidi kipindi kile wakati nilipowekeza nguvu kwa Tanzania.
Nadhani ulinitaka nifafanue ile mishale ya uhamaji katika mabara mengine. Nakuahidi nitaelezea hivi karibuni kwa sababu ni topic ndefu na ngumu kidogo ila nitajitahidi kufupisha na kujibu kulingana na maswali yenu. So pliz let's wait a little bit.

Nasubiri. I value this lesson a lot.
 
Back
Top Bottom