Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Kiongozi jitahidi unavyomjibu mtu umu-quote kwanza huyo mhusika maana unaweza ukawachanganya wengine wakadhani umewajibu wao kwani anaweza kutokea mtu akapost kitu mapema kabla ya wewe na hivyo kudhaniwa unamjibu aliyemaliza kupost.
 
Nimeshindwa kukujibu coz nimekuwa bize sana nikiandaa andiko linalohusu Tanzania, so najua utanivumilia kidogo.
 
Excellent.
 
Kwa mfano kesho likitoka agizo kuwa shule zote za kata ziwe na mabweni ili kuruhusu wanafunzi wa maeneo mengine kusoma itasaidia kupunguza hicho unachodhani kuwa ni ukabila na ukanda?
 
Awaambie watoto wake kuwa babylon system is the vampire.
Mkuu unafanya kazi nzuri sana ya kuwaelimisha watu.
Tatizo hata reggae za Bob awasikilizaji.
 
Kwa mfano kesho likitoka agizo kuwa shule zote za kata ziwe na mabweni ili kuruhusu wanafunzi wa maeneo mengine kusoma itasaidia kupunguza hicho unachodhani kuwa ni ukabila na ukanda?
Swali kuntu mdau but la muhimu ni kuwa, katika social life huwa hakuna jibu moja kwa kila swali/suala. Hivyo natarajia mengine kutafafanua nitakapowasilisha andiko langu. La muhimu ni kuwa, hatua alizochukua Baba wa Taifa, ni nyingi mno na za maana japo kuna moja aliikosea na kwangu ndio ninaiona kikwazo kikubwa cha kuimarisha utaifa wetu. Sooner or later, nitayaeleza vyema.
 
Gud observation Mzee. Najitahidi kumalizia bandiko langu la Tanzania, hapo ndio mjadala utatuhusu watu wote na utakuwa mpana sana.
nimefurahi kuona huu mjadala umewafanya kuwa kitu kimoja mwanzo mlikuwa mnabishana vizuri tu kwahoja nabaada yakuona kuwa hoja zenu zinamlengo mmoja mzuri kwaajili yakumfanya mwafrica ajitambue basis mmeamua kuweka tofauti zenu pembeni nakukubaliana kimawazo....nilikuwa nafuatilia mjadala wenu vizuri kabisa... you guys ni real magreat thinker mko vizuri mnooooo
kongole kwenu
 
Duh
 
Yes, nimehamishia nguvu kwa Tanzania sasa. Nikikamilisha la Tanzania, nitakngia Afrika Mashariki ili niwaonyeshe vitu ambavyo huwa mnavisikia tu na kubaki kujiuliza why?
 
Mkuu, naomba kukukumbusha kuwa we are still waiting for you.Usisahau kuni-tag
Dah!! Kitambo ndugu nimeachana na mambo ya asili ya intelligent za wanadamu na kweli nilikuahidi kipindi kile wakati nilipowekeza nguvu kwa Tanzania.
Nadhani ulinitaka nifafanue ile mishale ya uhamaji katika mabara mengine. Nakuahidi nitaelezea hivi karibuni kwa sababu ni topic ndefu na ngumu kidogo ila nitajitahidi kufupisha na kujibu kulingana na maswali yenu. So pliz let's wait a little bit.
 

Nasubiri. I value this lesson a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…