Nimekutana na vijana wa kenya wakiwa katika mazungumzo ya kawaida lakini katika mazungumzo hayo nikashitushwa na kauli zao kua, kiswahili asili yake ni kenya eti kwa sababu wao ndio wanaongoza kufundisha kiswahili nchi za nje kuliko watanzania,je, kuna ukweli wowote katika hili?