Asili ya lugha ya kiswahili

Asili ya lugha ya kiswahili

IYOMBO

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
381
Reaction score
218
Nimekutana na vijana wa kenya wakiwa katika mazungumzo ya kawaida lakini katika mazungumzo hayo nikashitushwa na kauli zao kua, kiswahili asili yake ni kenya eti kwa sababu wao ndio wanaongoza kufundisha kiswahili nchi za nje kuliko watanzania,je, kuna ukweli wowote katika hili?
 
Kilichokushtua ni nini hasa?
 
Logic ya kufundisha kiswahili nchi za nje haileti uhalisia au uwiano kuwa kiswahili kimeanziaa kwao
 
Kama ni hivo,basi ni wapi asili hasa ya lugha ya lugha ya kiswahili? Na kwa ushaidi upi? Tafadhali naomba majibu na si kejeli.
 
Kilianzia Pate ambayo ni moja ya visiwa vya pwani ya Kenya ya sasa...kabla Kenya kua Kenya ilivyo sasa.....ni sahihi wasemalo!
Kikaenea mwambao wote wa pwani .....pemba,Unguja,kilwa na sofala pamoja na tanga ,msumbiji na pwani ya Tanzania,Afrika ya kati/Kongo n.k.....
Tanzania ina waongeaji wengi tu wa kiswahili na imekipa kiswahili kipaumbele kama vile Marekani utapata waongeaji wengi wa kiingereza lakini lugha ni asili ya uingereza walio wachache.
Jaribu kufanya utafiti wakati mwingine!
 
historia ya kiswahili ni pana sana! Kuna nadharia nyingi sn hao wakenya achana nao walikuwa wanasogeza muda!
 
Back
Top Bottom