Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Masahihisho. Kulikuwa Na mganga maarufu akiitwa Inyanga. Kwa hiyo waliokuwa wanamtafuta wakawa wanaambiwa waende kwa Inyanga, ambapo kwa kisukuma eneo linaitwa "Chalo". Kwa hiyo wakawa wanasema "toleja ko Chalo sh'inyanga" yaani tunaenda kwa eneo la Inyanga, ndiyo ikawa Shinyanga.Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera , upande wa kusini na Mkoa wa Tabora.
Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi , na
mkoa wa Simiyu upande wa mashariki.
ASILI YA NENO "SHINYANGA"
Asili ya neno "Shinyanga" limetokana na neno IYANGA.
Iyanga ni mti uliokuwa unapatikana Shinyanga ambapo Mtemi wa Shinyanga wa wakati huo alikuwa anapenda kupumzika chini ya mti wa Iyanga kila siku jioni.
Baada ya ujio wa wakoloni walipouona mti huo walishindwa kutamka neno Iyanga na kumsema Shinyanga..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sing'anga tena ?Aisee,kumbe "SING'ANGA" ina "sitolia" ndefu hivi?Duh!
Naam mkuu.Huku kijijini kwetu sisi tusio na meno ndivyo tunatamka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sing'anga tena ?