Tman Clever
Member
- Dec 20, 2012
- 39
- 29
Salamu ziwe nanyi wakuu.
Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana.
a) Nguvu za kiume na
B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection)
A) NGUVU ZA KIUME
Ni uwezo wa kusababisha uzazi.
Unajipimaje?
i. Wazungu/manii wawe wanatoka. WENYE AFYA INAYOTAKIWA na
ii. Wawe na uwezo wa kutungisha mimba
NB: Manii inahitaji walau wiki moja hadi mbili kukomaa kikamilifu ili kutungisha mimba. Hii pia inaweza kutofautiana mtu na mtu kwa sababu mbalimbali kama vile Asili, mazingira, chakula, vichocheo, n. K
B) Mjomba kusimama/Perfect penile erection.
i. Mjomba anahitaji kusimama kutokana na msukumo wa damu(blood pressure) kwenye via vya uzazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo hisia.
ii. UREFU WA MJOMBA /NORMAL RANGE OF ERECT PENILE
Kiafya mjomba anatakiwa akisha simama kikamilifu awe kwenye urefu wa wastani Kati ya 5inch hadi 6 inch
N.B Binadamu mwenye urefu chini ya inch 3 ni mwenye kasoro.
Pia Binadamu mwenye mjomba mrefu kufikia 7.5inch na kuendelea ni mwenye kasoro pia.
Note: Shangazi anakadiliwa kuwa na urefu wa inch 5 hadi 8 hadi kuukuta mlango wa uzazi (cervix).
USIPANIKISHWE NA WAGANGA NJAA KUHUSU NGUVU ZA KIUME, Wasikuchanganye wanaotumia chupa za Mirinda wakitegemea wakukute na wewe upo kama chupa hiyo, Jiamini.