Asili ya nchi nne za Guinea

Asili ya nchi nne za Guinea

Alvin_255

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
246
Reaction score
503
Ili kumaliza mkanganyiko huu mara moja na kwa wote: KUNA GUINEA NNE (4) KWA UJUMLA

[emoji3502]Tatu katika Afrika Magharibi:
Guinea, Guinea-Bissau, na Guinea ya Ikweta
[emoji3502]Na moja katika Oceania, kaskazini mwa Australia: Papua New Guinea.

[emoji3502]"Guinea" lilikuwa jina la jumla la eneo pana la Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Wakati wakoloni wa Kizungu walipojitokeza, kila mmoja alichukua kipande chake cha Guinea.

[emoji3502]Walipoondoka, Guinea ya Ufaransa ikawa "Guinea" ya kisasa (Guinea tu), Guinea ya Uhispania ikawa "Guinea ya Ikweta", na ya Kireno ikawa "Guinea-Bissau"

[emoji3502]Papua New Guinea huko Oceania iliitwa "Guinea" na wakoloni ambao walikuwa wamekwenda Guinea ya Afrika hapo awali, kwa sababu watu waliokutana nao huko waliwakumbusha Waafrika.

[emoji368][emoji368][emoji368] FYI, pia kuna "Guyana" mbili, zilizowekwa alama ya chungwa kando ya pwani ya kaskazini ya Amerika Kusini!

[emoji368] Kietimolojia, asili ya neno "Guinea" haijulikani wazi.View attachment 2033453

IMG_9389.jpg
 
Back
Top Bottom