Asili ya neno 'desa'

yale yale!! eti wakashindwa kusema hivi ikawa vile, ni nadharia tu. katika sayansi nadharia haikatazwi, ni jinsi ya kuithibitisha tu.
 

Unatafuta kick, Wenzio wanaenda Moro. Mbagala unafuata nini ovyoooo.
 
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
Asili yake ni kutokana na novel ya Frederick Forsyth inayoitwa " Odessa file" ambapo neno "Odessa" likafupishwa na kuwa "Desa" ikimaanisha file la kuibia wakati mitihani:cool2:
 
Neno 'desa' lilianza kwa kukopa jina la riwaya iliyoitwa 'The Odessa File" cha mwandishi F. Forsyth. Kitabu hiki kilipendwa sana na vijana waliopenda thrillers miaka ya 70 na 80. Jina hili liliwavutia vijana waliosoma UDSM enzi hizo na wakayaita mafaili yenye past papers na nondo mbalimbali kuwa ni "Odessa Files". Udanganyifu katika mitihani ulivyoongezeka, na neno likabadilika baadae na kuwa 'desa'.
Haikutoka kwa Russian spy or any such thing.
 
Umepatia. Neno limetokana na 'The Odessa Files'.
 
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
nenda muulize mtu anaitwa Museven eti asili ya neno hili manake ndo muasisi wa neno hili enzi hizo tukiwaa tunasoma
 
Kimbweta
msomi wa asili ya kabila la kisafwa tanzania
alikuwa anapenda sana kukaa chini ya miti akiwa anasoma.. Ivo basi ikabidi ianzishwe sistimu ya kusoma kwa namna hiyo na hayo mawe ya kukalia yalipojengwa yakapewa jina lake vimbweta..0Š40Š4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…