Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
๐๐๐๐๐Ila kweli..nina Wii mmoja anaomba huyo hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Ila kweli..nina Wii mmoja anaomba huyo hatari
Hili hatari sana. Liwekwe sawa kwenye historia yetu. Lakini hili la Stanley lilitokea miaka 50 kabla ya hilo.Nimeona wachangiaji wengi wamejikita na michango hasi tu mara genetics mara dhambi upuuzi tu,
Nchi ya Wagogo ilipigwa na ukame mkubwa mwaka 1917-1920
Wenyeji waliuita ukame huo "Mtunya" yani "Scramble" ikimbukwe ukame huu ulitokea baada tu ya kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia 1914-1918
Tuende kwenye athari ambazo vita ya kwanza ya dunia ililetea afrika.
Over exploitation of afrika resources to rescue Europe economy after the war
Baada ya vita kumalizika kulitokea upungufu mkubwa chakula hivyo wakoloni walichukua kila kilichowafaa na kupelekwa kwao (mazao, mifugo etc) na hiyo haikutokea ugogoni tu bali tanganyika na hata afrika nzima
Turudi kwenye Ukame mkali "mtunya" ambao uliu wagogo 150k ambayo ilikuwa ni karibu asilimia 90% ya population yote ya wagogo, ikumbukwe kipindi wagogo wanapigwa na ukame na njaa kali serekal8 ya wakoloni inaendelea kupunguza mifugo yao na kuwazuia wagogo kuendelea kuendea kuzalisha chakula kwa kuchukua nguvu kazi kama Labour kwenye plantation zao
Walichofanyiwa wagogo na ukoloni kilipaswa kuitwa genocide kama ilivyokuwa kwa Wanama na Waheroro wa Namibian
Kupoteza asilimia 90% ya population yenu kwa miaka minne sio kitu kidogo hata ikipita miaka mia mbili
**************
"The Gogo, in their own interpretation of the famine, stress the ways in which this famine made them dependent on the colonial economy. For them, this famine represented a terrible loss of autonomy, a loss of the ability to control the reproduction of their own society"
-John Iliffe, The Journal of African History