kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwa chama cha mapinduzi zaid ya 70% ni wezi na wahujumu walio jificha chini ya mwamvuli wa CCM.Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
Ikitokea siku anahitaji kufikiri kama wewe atakuandikia barua ya mwaliko mjadiliane ya kufikiri.Una anwani/postikodi inayotambulika?Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Kuna jamaa alikimbia mji ameacha ghorofa lake pagale la miaka 10. Alipata hela kwenye madini akaanza kufadhili harakati za Chadema, CCM walinyoosha mpaka akakimbia mjiNa ikitokea una pesa za kutosha yaani ni tajiri then haupo upande wao watakuwinda kila kona yako ili wakufirisi, wengi wapo huko sio kwa kupenda wapo tu kwa kujilinda na hiyo ndio mbaya zaidi
Na hata yule aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mwanza, mabina, alikuwa jambazi la kuteka watu ziwani na kuwapora engines za boats, wakati huo zikowa haziuzwi nchini. Alipotajirika CCM walimoa umwenyekiti wa mkoa.Ni kweli. Mfano, kazi ya mwanzo ya Msukuma kabla hajawa mbunge ilikuwa ni utekaji wa mabasi na uporaji wa mali za abiria. Hivi Sasa amejificha ccm na maovu yake hayazungumzwi kabisa.
Huwa nacheka sana anapokuwa kwenye media akijifagilia kuwa alikuwa machinga na mshona viatu.
Haihitajiki akili kujua Rostam huwa anatafuta nini CCMNi kweli. Mfano, kazi ya mwanzo ya Msukuma kabla hajawa mbunge ilikuwa ni utekaji wa mabasi na uporaji wa mali za abiria. Hivi Sasa amejificha ccm na maovu yake hayazungumzwi kabisa.
Huwa nacheka sana anapokuwa kwenye media akijifagilia kuwa alikuwa machinga na mshona viatu.
Naunga mkono hojaKama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.
Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.
Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa mali ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.
Hiyo bendera ya CCM haikuwekwa bahati mbaya, alijua uhakika. Hiyo ni ajali kazini au kuna watu walimchoma. Tofauti na hapo, goma likishakuwa na bendera ya chama trafiki wanapunga mkono tu unateleza.
Hawa matajiri wanaopambania vyeo vya udiwani, ubunge lengo namba moja inakuwa kuficha vitu vyao haramu ikiwemo ukwepaji kodi. Hivyo hivyo kwa watu wa kawaida. Lengo namba 5 ndio inaweza kuwa kutumikia nchi.
Hata hawa vijana unaowaona humu mitandaoni ikiwemo JF ni njaa tu hakuna kingine.
Watch out mzee baba
Tunaomjua Rostam, tunajua kuwa alitajirika kabla hajaijua/hajajiunga CCM .Haihitajiki akili kujua Rostam huwa anatafuta nini CCM
hapana si kweli,Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.
Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.
Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa mali ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.
Hiyo bendera ya CCM haikuwekwa bahati mbaya, alijua uhakika. Hiyo ni ajali kazini au kuna watu walimchoma. Tofauti na hapo, goma likishakuwa na bendera ya chama trafiki wanapunga mkono tu unateleza.
Hawa matajiri wanaopambania vyeo vya udiwani, ubunge lengo namba moja inakuwa kuficha vitu vyao haramu ikiwemo ukwepaji kodi. Hivyo hivyo kwa watu wa kawaida. Lengo namba 5 ndio inaweza kuwa kutumikia nchi.
Hata hawa vijana unaowaona humu mitandaoni ikiwemo JF ni njaa tu hakuna kingine.
Watch out mzee baba
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Hiyo amani Iko nyumbani kwako TU, kwingine Kuna uoga na uvumilivu. Nadhani hata ccm wenzio wanashangaa jinsi ulivyo muongo na mnafikiUnafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
Kumbe wewe hata huelewi tunajadili nini. Kuna wanaotajirikia CCM kama kina Mwingulu, kuna wanaokuja wakiwa tajiri lengo inakuwa kutajirika zaidi au kujificha namna walivyotajirika kama kina MsukumaTunaomjua Rostam, tunajua kuwa alitajirika kabla hajaijua/hajajiunga CCM .
Na kwa kukuazima akili,yupo CCM kutunza alichonacho /alichokitafuta hapo kabla.Tunaomjua Rostam, tunajua kuwa alitajirika kabla hajaijua/hajajiunga CCM .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yap, niliamua kuchukua kadi ya chama baada ya Biashara yangu kuongezeka mtaji (kuwa kubwa).
Juzijuzi nimeunganishwa kwenye group la CHAMATA, hata sielewi Ila mi nachoangalia MAMBO YANGU YAENDE.
#YNWA
Yule hukunja buku 4 kila post kwenye mitandaoHauwezi kua mzalendo wa kweli ukiwa CCM.
Watu wapo CCM kwa masilahi yao binafsi.
Hata Lucas mwashambwa anaifagilia CCM kila siku sababu kuna mchongo anausikilizia.
Nimesema kweli na ndio ukweli !Kiongozi gani wa CCM alisema hayo? Lini na wapi? Acha kupotosha umma kwa mambo ya kutunga.
Ni mpagani pekee anayefikiri na kuamini amani tuliyonayo inatokana na ccm. Bila Mungu nchi hii amani isahau.Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
Wamenipa mpaka uongozi wa Wilaya wa CHAMATA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulinda mali zako ni muhimu sana, ukishamjua Adui