Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Haya sasa ndio madini.
 
Most of the time banks ambazo zina offer interest rate kubwa ni zile dhaifu dhaifu. Huwezi kuta bank kama Crdb au Nmb zinatoa 12%

UTT wako vzuri wanachofanya ni kutengeneza pool ya wateja wadogo wadogo wengi ili waweze kukusanya pesa nyingi kwa uwekezaji mkubwa wa muda mrefu ktk Treasury Bills & Bonds
Kama kule wanapata 18% au 20%(Ongeza na Appreciation of Bonds) wakikupa 14% wakabaki na cha juu chao 4% (18%-14) au 6%(20%-14%) sio mbaya
 
Kuwa makini na hiyo bank. Bank kubwa hazitoi hiyo interest. Labda unstable bank zinazoweza ku collapse.
 
wewe mtoa ushauri unazo hizo 45m ngapi ..au ndo nawewe unamuita huko Pm ukamvune hio pesa kwa jina la consultancy fee .?
 
hiyo UTT kwa mwezi pesa hii 45ml inaweza kuwa inatoa shingapi ya gawio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…