Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Hizi Habari za Pesa Umakini wa Hali ya Juu Unahitajika, Kuingizwa King ni Muda wotewote,,
Akili za Kuambiwa changanya na Zakwako
Kumbuka hakuna kitu Cha Bure Wala Pesa za Bure.
Ukiwasoma maoni yao wanabishana tu,hawaeleweki.
 
Wadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
Keep your money rolling, in a few months unaweza kuikuza mara mbili ya hio kuliko kwenda kuzika kwa rate ya 13% wakat banker anaikodisha/ikopesha kwa minimum rate ya 24% na pia ukumbuke kuna inflation ya rate 7% per month.
 
Mkuu wabongo wengi wanahitaji shule ya Financial Literacy
Hivi mkuu Kila mtu akiwa Na financial literacy (tuseme ifundishwe sekondar) nchi itaendelea??
Sio kwamba ili utusue Kwa Kila ujuzi Huo unahitaji wajinga wengi watakaoveti upande tofauti?
Let's say wao wakiuza wewe unanunua Na wakinunua unawauzia Kwa faida kubwa??
Kila mtu akiwa Na akili ya finance Nani atampiga mwenzake?
Kila mtu akiweka bonds,UTT au fixed sio kwamba Hizo institution zitapazimika kupunguza rates??
 
Sina maana hiyo unayofikiria wewe, Its all about basic financila skills ambayo kwa ujumla wake ina vitu vingi sana ndani yake, kama vile budgeting, borrowing and lending, uelewa wa tofauti kati ya asset na liabilities, personal finances etc. Naturally hatuwezi wote kuwa wawekezaji ila u apokuwa na jamii yenye watu wengi wenye uelewa angalau basics tu za finances inasaidia sana. Mfano watumishi wananiimgiza kwenye mikopo ya kinyonyaji bila hata ya uelewa wa namna gani mikopo hiyo inavyofanya kazi.
Ni muhimu kama ilivyo somo la uraia katika shule ya msingi.
Bongo mtu ana mshahara wa Laki 5 na hana chanzo chochote kingine cha mapato ila unashangaa mtu huyo huyo anaenda kukopa Gari la kutembelea la 10m, kwa mtu ambae ni financial literate huwezi fanya huo upuuzi hata siku moja.
 
Hivi mkuu Kila mtu akiwa Na financial literacy (tuseme ifundishwe sekondar) nchi itaendelea??
Sio kwamba ili utusue Kwa Kila ujuzi Huo unahitaji wajinga wengi watakaoveti upande tofauti?
Let's say wao wakiuza wewe unanunua Na wakinunua unawauzia Kwa faida kubwa??
Kila mtu akiwa Na akili ya finance Nani atampiga mwenzake?
Kila mtu akiweka bonds,UTT au fixed sio kwamba Hizo institution zitapazimika kupunguza rates??
Na pia elewa Dunia ya sasa uwekezaji upo wa aina nyingi mno, UTT ni punje katika gunia la mchele.
Shida kubwa tiyonayo wabongo sio watuwa kusaka maarifa tunafanya vitu style ya nyumbu.
Do you know kwamba leo hii unaweza kuwekeza mwenye Real Estate Dubai au New York ilhali wewe upo Bongo na hujawahi enda New York au Dubai?
Na suala zima la uwekezaji linakuwa gumu kwa wengi sababu wengi wanalitambua wakiwa wakubwa na umri umeshakwenda, sasa anapoambia wekeza ndani ya miaka 5 au 6 hadi 10 anaona dah ntafika kweli!? Lakini imagine mtu huyohuyo angekuwa na uelewa tangu akiwa na miaka 16 au 18.

Hivyo nabaki kusema kuwa Financial Literacy ni muhimu sanaa.
 
Keep your money rolling, in a few months unaweza kuikuza mara mbili ya hio kuliko kwenda kuzika kwa rate ya 13% wakat banker anaikodisha kwa minimum rate ya 24% na pia ukumbuke kuna inflation ya rate 7% per month.
Na ukumbuke pia hio 13% Ni free risk investment,hebu tupe risk(%) ya huko anakoweza kuinvest in few months na kuikuza hio pesa Mara 2.

"The higher the risk the higher the returns".
 
Hivi BOT wanauza Hisa au Bonds(Hati fungani)???
Do your own research brother kabla yakuanz
Hata juzi NMB walikuwa na program ya uwekezaji hisa kwa faida ya 8.5%, bado hawaifikii UTT ambayo faida yake unaweza kuendelea kuiwekeza na ikaendelea kukupa faida
Hao Nmb zilkuwa ni bond au hisa?, na kwenye ishu ya bond ukishapewa risiti ya malipo , certificate na binding agreement mtu hapewi?mwenye kuelewa naomba msaad
 
Bora umefukua makaburi maana kuna watu humu ni wapenda sifa hata kama wanalala njaa..
Nilishatoa tahadhari humu, kuwa muwe mnazipa hadhi yake ID zilizoingia miaka ya kati ya 2009-2006, wakati mpaka sasa wana post chache jukwaani!! Ona sasa mleta mada kapigwa ngwara baada ya kuachiwa 'tanganyika jeki' na ID ya jamii hiyo! H ah hah aaaaa!
 
Back
Top Bottom