Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hao wahuni utashangaa wanakupa 9% kwa mwaka ambayo ukipiga hesabu kila mwezi itakuwa hela ndogo sana hasa kwa wenye mitaji midogoWameizindua asubuhi hii EFM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wahuni utashangaa wanakupa 9% kwa mwaka ambayo ukipiga hesabu kila mwezi itakuwa hela ndogo sana hasa kwa wenye mitaji midogoWameizindua asubuhi hii EFM.
Yaani nimepiga hesabu hapa kama ukiweka milioni 100 na ukapata hiyo 9%, basi utapata milioni faida ya milioni 9 kwa mwaka ambayo ni sawa na 750,000 kwa mwezi.Hao wahuni utashangaa wanakupa 9% kwa mwaka ambayo ukipiga hesabu kila mwezi itakuwa hela ndogo sana hasa kwa wenye mitaji midogo
Ni noma mzee yani bora uweke sehemu ambayo utaweza kula hio 750K huku ukipewa loan ya 100M nyengine 😂😂😂 Kama wafanyavyo hao UTTYaani nimepiga hesabu hapa kama ukiweka milioni 100 na ukapata hiyo 9%, basi utapata milioni faida ya milioni 9 kwa mwaka ambayo ni sawa na 750,000 kwa mwezi.
Sasa si bora uchome mihogo tu!
nimeamini hakuna bank inataka ttajirike
Mkuu kwa mfano UTT nina vipande vya milioni 50... Hawa CRDB wanaweza kunikopesha ngapi kiwango cha juu?Ni noma mzee yani bora uweke sehemu ambayo utaweza kula hio 750K huku ukipewa loan ya 100M nyengine 😂😂😂 Kama wafanyavyo hao UTT
Utapata za kutosha, wewe nenda CRDB bank watakupa maelezo mazuri , angalizo si Kila afisa mikopo anaielewa mzuri wa hizi collateral. Kama una gvt bonds wanatoa hadi 90% ya thamani ya bond. Ikiwa na hisa pia zinaweza zikatumika kama collateral ila unapata mkopo kidogoMkuu kwa mfano UTT nina vipande vya milioni 50... Hawa CRDB wanaweza kunikopesha ngapi kiwango cha juu?
Safi sana hii, naomba uniambie huo mpango wa gawio unaitwaje mkuuNimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT!
Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa.
Umefanya vizuri sana kugundua na Kutoa elimu,Hiyo ndio maana halisi ya kuelimika.SAIDIA WENGINE KUPITIA ELIMU YAKO.Nimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT!
Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa.
Hebu angalia Nmb Bonus AccountHakuna bank yenye rate 13%, uliza tena vizuri
Nmb Bonus AccountBank gani hio inatoa 13%?
Nmb Bonus Account13 % kwa fixed ni rate nzuri sana kwa zama za sasa.
Tunaomba jina la bank hiyo ndugu
Sahihi kabisa mkuu Ila sidhani Kama ma-bank yanaweza kuzikubali hisa za vodacom,precision air maana Ni kimeo kishenzi.Utapata za kutosha, wewe nenda CRDB bank watakupa maelezo mazuri , angalizo si Kila afisa mikopo anaielewa mzuri wa hizi collateral. Kama una gvt bonds wanatoa hadi 90% ya thamani ya bond. Ikiwa na hisa pia zinaweza zikatumika kama collateral ila unapata mkopo kidogo
Anafikri mchezo huyu!Hii keep ur money rolling ni rahisi kuitaja kwa mdomonsasa ingia field uone
hii huwa ipoje? maana mimi ninayo hiyo account lakini sijawah kupata pesa yeyote,sana sana naitumia kuhifadhi hela zangu kwa matumizi ya baadae...ila sio kuzalishaNmb Bonus Account
FINCA13 % kwa fixed ni rate nzuri sana kwa zama za sasa.
Tunaomba jina la bank hiyo ndugu
Kwani wajua location ya hiyo nyumba. Waweza kuta ipo BONDE la Jangwani ukashangaaWhy usiuze nyumba yako kisha ukazungusha hela then ukainunua tena ama ukajenga nyingine nzuri kuliko hiyo
Narudia ukiwa JF ukafa kwa STRESS uzembe wako mwenyewe. Wapi hii ya kuongezewa kitunguu!!!🤣🤣🤣🤣🤣Kwa business zenyewe hizi za kilimo cha nyanya[emoji28][emoji28].Bora ikae huko.
Mtaani Kwa Sasa kabichi ni 200 na unapewa na kitunguu kama zawadi[emoji1787][emoji1787].
Hisa za CRDB wanazikubali vizuri.Sahihi kabisa mkuu Ila sidhani Kama ma-bank yanaweza kuzikubali hisa za vodacom,precision air maana Ni kimeo kishenzi.
hao bonus acount waongo wala hawatoii bonus kama wanavyodai kwenye chartsNmb Bonus Account