- Thread starter
- #81
Benki gani uliweka 10 m ukapata fiada ya 5.6million kwa mwaka?tushauliane tutoke kwwnye umasiki i..mkuuNMB fixed 6%
CREB 5%
Hakuna kitu fixed
Niwekeza 10m
Mwakajuzi nlikija kupata 5,600,000 per annum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benki gani uliweka 10 m ukapata fiada ya 5.6million kwa mwaka?tushauliane tutoke kwwnye umasiki i..mkuuNMB fixed 6%
CREB 5%
Hakuna kitu fixed
Niwekeza 10m
Mwakajuzi nlikija kupata 5,600,000 per annum
Mkuu benki ya 13% ipo ila ni kati ya hizi microfinance za kutoka america zilizpo hapa nchiniUsalama wa pesa zako ni suala la msingi sana usiyumbishwe na hizo figure za interest rate, ni kweli benki nyingi sana sasa zina changamoto kubwa sana ya liquidity ratio hivyo zinahitaji deposit za kutosha ila trust me hakuna benki itakupa hiyo rate ya 13%. Nakushauri nenda Absa bank kwa hiyo pes wanaweza kukupa rate ya 7.5% lakini utakuwa eligible kupata over draft 80% ya FDR yako pia wanakupatia credit card facility kuanzia 1m hadi 15million na kubwa zaidi usalama wa pesa zako ni 100%.
Mkuu,,tumegee optiona amabzo mtu anaweza kuwekeza..mie najua fixed..kununua hisa..na UTT lakini UTT sijawahi..Hisa nilinunua za vodacoma na swalaoili kila moja nikalipa million 1 moja sasa sijaona faida yakunujua hisa.So shauri mkuu options zingine njema kwa 40 million.Niko 50yrsNa pia elewa Dunia ya sasa uwekezaji upo wa aina nyingi mno, UTT ni punje katika gunia la mchele.
Shida kubwa tiyonayo wabongo sio watuwa kusaka maarifa tunafanya vitu style ya nyumbu.
Do you know kwamba leo hii unaweza kuwekeza mwenye Real Estate Dubai au New York ilhali wewe upo Bongo na hujawahi enda New York au Dubai?
Na suala zima la uwekezaji linakuwa gumu kwa wengi sababu wengi wanalitambua wakiwa wakubwa na umri umeshakwenda, sasa anapoambia wekeza ndani ya miaka 5 au 6 hadi 10 anaona dah ntafika kweli!? Lakini imagine mtu huyohuyo angekuwa na uelewa tangu akiwa na miaka 16 au 18.
Hivyo nabaki kusema kuwa Financial Literacy ni muhimu sanaa.
Thanks very much..naendelea kujifunza pia kwa option kutoka kwa wadauKanunue government bond faida yake inatokana na muda unaoweka na utt Ina range kutokana na mwaka husika uzuri wa government bond inakuwa unajua exactly amount utakayopata as coupon na pia unaweza kupata mkopo⅔ ya fedha uwekezaji wako kupitia crdb .Utt pia unaupata mkopo
Hiyo lazima maana ni jambo la kisheria. Wasipokata maana yake watakuja kulipa wenyeweJe wanakata 10% taxi kwa gawio?
Jua limepatwa, kama atakujibu una bahati.Why usiuze nyumba yako kisha ukazungusha hela then ukainunua tena ama ukajenga nyingine nzuri kuliko hiyo
Ni ya Serikali. Iko chini ya Wizara ya Fedha. Usalama wa kuwekeza huko upoHIV utt inamilikiwa na serikali????
Mkuu wewe UTT inakufaa.. Kama una 40m inatosha sana kwa kuanzia Bond Fund, utakuwa unapata dividend kila mwisho wa mwezi na hiyo pesa waweza itumia kama collateral bank kupata mkopoMkuu,,tumegee optiona amabzo mtu anaweza kuwekeza..mie najua fixed..kununua hisa..na UTT lakini UTT sijawahi..Hisa nilinunua za vodacoma na swalaoili kila moja nikalipa million 1 moja sasa sijaona faida yakunujua hisa.So shauri mkuu options zingine njema kwa 40 million.Niko 50yrs
WordUsalama wa pesa zako ni suala la msingi sana usiyumbishwe na hizo figure za interest rate, ni kweli benki nyingi sana sasa zina changamoto kubwa sana ya liquidity ratio hivyo zinahitaji deposit za kutosha ila trust me hakuna benki itakupa hiyo rate ya 13%. Nakushauri nenda Absa bank kwa hiyo pes wanaweza kukupa rate ya 7.5% lakini utakuwa eligible kupata over draft 80% ya FDR yako pia wanakupatia credit card facility kuanzia 1m hadi 15million na kubwa zaidi usalama wa pesa zako ni 100%.
Sasa wewe Mkuu tunaweza Zungumza Lugha Moja.. You seem to be financially literate, hiki ulichobreakdown hapa inaonesha how financiall literate you are kwamba unakwenda bank unajua nini bank inafanya na wewe unapata nini, its a kinda knowledge watz wengi hawana na hawataki kujifunza, mtu akiambia interest tu anakurupuka kuweka pesa yake bila kuangalia pros and cons.Usalama wa pesa zako ni suala la msingi sana usiyumbishwe na hizo figure za interest rate, ni kweli benki nyingi sana sasa zina changamoto kubwa sana ya liquidity ratio hivyo zinahitaji deposit za kutosha ila trust me hakuna benki itakupa hiyo rate ya 13%. Nakushauri nenda Absa bank kwa hiyo pes wanaweza kukupa rate ya 7.5% lakini utakuwa eligible kupata over draft 80% ya FDR yako pia wanakupatia credit card facility kuanzia 1m hadi 15million na kubwa zaidi usalama wa pesa zako ni 100%.
Mkuu tupe kidogo hiyo elimu ya uwekezaji wa real estate huko DubaiNa pia elewa Dunia ya sasa uwekezaji upo wa aina nyingi mno, UTT ni punje katika gunia la mchele.
Shida kubwa tiyonayo wabongo sio watuwa kusaka maarifa tunafanya vitu style ya nyumbu.
Do you know kwamba leo hii unaweza kuwekeza mwenye Real Estate Dubai au New York ilhali wewe upo Bongo na hujawahi enda New York au Dubai?
Na suala zima la uwekezaji linakuwa gumu kwa wengi sababu wengi wanalitambua wakiwa wakubwa na umri umeshakwenda, sasa anapoambia wekeza ndani ya miaka 5 au 6 hadi 10 anaona dah ntafika kweli!? Lakini imagine mtu huyohuyo angekuwa na uelewa tangu akiwa na miaka 16 au 18.
Hivyo nabaki kusema kuwa Financial Literacy ni muhimu sanaa.
Shida kubwa ya Wabongo wengi Mkuu ukiandika vitu hapa wanaanza Ooh tapeli, ndio maana watu tunabaki kimya kula mtu ashinde mechi zake. Its very disappointing mtu unajaribu kutoa knowledge kusaidia wenzio lakini wenzio haohao wanakukatisha tamaa.Mkuu tupe kidogo hiyo elimu ya uwekezaji wa real estate huko Dubai
Kiongozi yaliwai kunikuta kama ww.bora kila mtu ashinde mechi zake. Nilishukiwa kama mwewe. Mungu ni mwema mambo yanakwenda kimya kimya. Nilibezwa cjapata kuonaShida kubwa ya Wabongo wengi Mkuu ukiandika vitu hapa wanaanza Ooh tapeli, ndio maana watu tunabaki kimya kula mtu ashinde mechi zake. Its very disappointing mtu unajaribu kutoa knowledge kusaidia wenzio lakini wenzio haohao wanakukatisha tamaa.
Watu hawako tayari kujifunza na hawako tayari kupokea vitu vipya.
Pole sana MkuuKiongozi yaliwai kunikuta kama ww.bora kila mtu ashinde mechi zake. Nilishukiwa kama mwewe. Mungu ni mwema mambo yanakwenda kimya kimya. Nilibezwa cjapata kuona
Unatajirilaje kwa kuweka million 200 benki?Change your Mindset kwanza. Hakuna Benki inayotaka Utajirike ukiwa na Mtaji mdogo. Benki utatajirika ukiwa na mil 200 kwenda mpka Bil 1
Mnafikiri kuizungusha hela ni jambo jepesi eeh...Hao wanaozungusha hela sio rahisi jamani kuna watu wanatumia mpaka mzizioloji we unaona mtu anafanya biashara tu kwa macho ya nyama.Why usiuze nyumba yako kisha ukazungusha hela then ukainunua tena ama ukajenga nyingine nzuri kuliko hiyo