Asilimia 16 Mbeya waishi na VVU

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
WATU 21,992 sawa na asilimia 16.2 ya watu 136,108 waliopima afya zao mkoani Mbeya mwaka huu, wamegundulika kuishi na virusi vya Ukimwi (VVU).

Mbali na hao, pia kati ya wajawazito 94,969 waliopimwa, wajawazito 5,562 sawa na asilimia 5.9 waligundulika kuishi na VVU.

jamani tumekwisha!!!

sema usemalo lakini fahamu kuwa ule ugonjwa tunaambukizwa na watu TUWAPENDAO!!

unaweza kuwa hata MD wa Angaza alafu ukaletewa na mkeo/mmeo ndani..........tuendelee kukumbushana jamani..

wengi wao ni vijana alafu
 
evenly distributed?
More details please.
 
wala dunia bado kwisha kabisa.
Sasa hivi umri wa dunia ni 4.5 billion yeras na inasadikiwa its half its life so ina miaka mingine 4.5 ya kuishi

Life has several million years so bado kuna several million years for life.

Dunia imefikia tamati!!
 
wala dunia bado kwisha kabisa.sasa hivi umri wa dunia ni 4.5 billion yeras na inasadikiwa its half its life so ina miaka mingine 4.5 ya kuishilife has several million years so bado kuna several million years for life.
umesoma wapi?!
 
ahhaha
nimeipenda hiyo FB kuwa amesomea wapi lol maajabu hayo...pata uwezo zaid kazi ni kwako
 
Duh, yaani unaishi kwenye dunia ambayo hujajaribu hata kujua historia yake?

hata hii global warming its a natual thing to happen, joto litapanda weee, the litashuka, now we are somewhere close to the pick of global warming.

Na likishuka, it will not be easy.

Jamani fesi buku kazi yako kusoma kina Kim Kardashians tu.

umesoma wapi?!
 
Asante kutukumbusha, JF tupo? Tuache magumashi, Tuwe na mmoja, Tuwe Makini, tuwe waaminifu, na kwa wale tutakaoshindwa basi Tucheze Salama
 
Watanzania si mnajitapa mmefanikiwa kugundua chanjo sijui dawa sijui, sasa mnaogopa nini.

Bora sie tuliozeeka miili imepoa kabisa, labda kama utapitia kwenye ugali
 
ukweli ni kwamba linapokuja swala la HIV tunapenda uongo zaidi kuliko ukweli.
 
tizamaa tusivyopenda habari za Ngoma.... tangu saa nne asubuhi... hii post yangu ni ya 16.... mmmhhhh,,,... mtake msitake ukimwi ni kweli.... na mapenzi ni kifo wana MMU... kapimeni
 
kaka mungu afanye kaki2 utoweke jaman,duh madam 2takufa tu bs angalau angefuta huu ugonjwa1?2seme:TUNAKUOMBA U2SIKIE
 
kwahyo ukipita na ma-chick 10, 2 ni wagonjwa! ila game tamu sana jaman,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…