mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
WATU 21,992 sawa na asilimia 16.2 ya watu 136,108 waliopima afya zao mkoani Mbeya mwaka huu, wamegundulika kuishi na virusi vya Ukimwi (VVU).
Mbali na hao, pia kati ya wajawazito 94,969 waliopimwa, wajawazito 5,562 sawa na asilimia 5.9 waligundulika kuishi na VVU.
jamani tumekwisha!!!
sema usemalo lakini fahamu kuwa ule ugonjwa tunaambukizwa na watu TUWAPENDAO!!
unaweza kuwa hata MD wa Angaza alafu ukaletewa na mkeo/mmeo ndani..........tuendelee kukumbushana jamani..
wengi wao ni vijana alafu