Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi.
Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri wao, kulinda mfumo wao wa maisha baada ya kustaafu na mfumuko wa bei.
Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri wao, kulinda mfumo wao wa maisha baada ya kustaafu na mfumuko wa bei.