Ukishastaafu unachotakiwa ni kula pensheni yako tu kila mwezi.
Kinachotakiwa watu walipwe pensheni kutokana na maisha halisi yalivyo na siyo pensheni za laki mbili ndio maana hawataki kustaafu.
Kwa nini Rais, Waziri mkuu, spika wamejiwekea pensheni ya 80% ya mshahara wa aliyepo ofisini?
Tuache ubaguzi pensheni zitolewe hakuna mtu asiyetaka kumpumzika na kwenda vacation Mara kwa Mara haya ndio maisha wastaafu wanatakiwa kula maisha na siyo kuliwa na maisha.