Kwahiyo hizo data zinawasaidia nn !?Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.
Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%.
Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer Baraka Mwambage, akiongea na Daily News katika mikakati yake kupunguza foleni hii barabara.
My take: Tatizo wameshalijua, ila wanalipaka rangi. Kurekebisha barabara na kupanua ni temporary solution.
Niliwahi kumuuliza jamaa wa mizani. Akasema: kuna mizigo inaongezewa njiani (mfano vichanja).Barabara ngumu hyo .Wana kula tu hela.
Alafu vile vituo vya mizani ndio vinaleta foleni.kwanini mizani ISIWEPO viwandani na bandarini.
Dereva alitoka anatoka na cheti Cha kuthibitishwa kuwa amepima mzigo upo sawaa.kuliko kwenda kupimiwa barabarani?
Mi naona kama wangeweza malori yapite kule air port yaelekee kisarawe yakachane lile road kutokea kinyerezai kufuru yaende hadi mbezi yakatokeaa pale mbezi kwa yusuph yaendelee na safariKwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.
Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%.
Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer Baraka Mwambage, akiongea na Daily News katika mikakati yake kupunguza foleni hii barabara.
My take: Tatizo wameshalijua, ila wanalipaka rangi. Kurekebisha barabara na kupanua ni temporary solution.
Hahaha Kumbe Kuna kusubiri.Jamaa kasema wakati wanasubiri kujenga highway /express way, wataziba viraka na kukarabayi sehemu zote zenye ukorofi
Ndio wazo zuri sana, wafanye kama wanavyo fanya Coca-Cola na breweries PLCBarabara ngumu hyo .Wana kula tu hela.
Alafu vile vituo vya mizani ndio vinaleta foleni.kwanini mizani ISIWEPO viwandani na bandarini.
Dereva alitoka anatoka na cheti Cha kuthibitishwa kuwa amepima mzigo upo sawaa.kuliko kwenda kupimiwa barabarani?
Shida sio takwimu, shida tatizo lina tatuliwa vipi? mbona kila mwaka takwimu zinatolewa? na kwanini mipango ikiwekwa haitekelezwi? Shida TANROAD wakubwa sana na hawa wawajibishwi na yeyote mengi wana fanya kwa ukiburi wa ukubwa walio limbikiziwa na mamlaka.Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.