Asilimia 40 ya magoli waliyofungwa Madrid La Liga yamepitia kwa Marcelo.

nadhani kila goli lazima lipite alipo kipa
Hapana sio kila goli. Maana unakuta mengine kipa katoka na kunamchezaji yupo golini anajaribu kuokoa na linampita huyo mchezaji au anaamua kuudaka na inakuwa penat na red card. Na yapo ambayo ya ampita kupa
 
Messi ndio main point ya huu uzi...
Yani tangu mtufunge last week mpaka tumechoka ,kila sehemu uzi wa Messi...

Hebu mjiamini basi ,msiwe kama Team Kiba au Mashabiki wa Man U
 
Messi ndio main point ya huu uzi...
Yani tangu mtufunge last week mpaka tumechoka ,kila sehemu uzi wa Messi...

Hebu mjiamini basi ,msiwe kama Team Kiba au Mashabiki wa Man U
We ni me au ke?
 
msenge sana wewe ,nikajua unataka watu wajadili suala la Marcelo kumbe unampamba messi
 
Hii tathmin ya shafii dauda imekaa kiushabiki Zaid kuliko uhalisia, Marcelo hajawa mbovu km ubavyotaka kutuaminisha Ila kinachoikost Timu msimu huu ni machovu ya misimu miwili mfululizo halafu Timu haisajili
 
Siku zote nasema marcelo ana matatizo makubwa kwenye kuzuia, ila naonekna mbaya marcelo ni mzuri zaidi katika kushambulia tu.
 
Madrid inamfia zidane otherwise afukuzwe mfumo wake ushakaririwa hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…