Asilimia 40 ya magoli waliyofungwa Madrid La Liga yamepitia kwa Marcelo.

Kati ya 40% na 60% ipi kubwa? Kichwa panzi kabisa.
Tuambie magoli yaliyofungwa na RM kupitia kwa Marcello ni Asilimia ngapi?
Utuambie pia ameokoa magoli mangapi? Amewafutia wenzake akina Ramos na Navas makosa mara ngapi.
 
Kwanini Nyuzi nyingi nowadays ni za kuhusu Madrid
 
Kati ya 40% na 60% ipi kubwa? Kichwa panzi kabisa.
Tuambie magoli yaliyofungwa na RM kupitia kwa Marcello ni Asilimia ngapi?
Utuambie pia ameokoa magoli mangapi? Amewafutia wenzake akina Ramos na Navas makosa mara ngapi.

40
 
Back
Top Bottom