Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hii ndiyo habari mpya kabisa ikufikie. Hili ni suala la kujiuliza kama taifa.
Wlae matapeli kina Kiga na Mrema washapiga shekeli wao wenyewe qmmk hata hawajachukua form kugombea jimbo loloteSasa G55 walikuwa wanatupigia kelele za Nini?
Wlae matapeli kina Kiga na Mrema washapiga shekeli wao wenyewe qmmk hata hawajachukua form kugombea jimbo lolote
Ni kweli na hutokea kila kipindi cha Uchaguzi Mkuu ndio maana sasa hivi HAKUNA kupita bila kupingwa. Kama Mgombea ni mmoja zitapigwa kura za Ndio na hapana.Hii ndiyo habari mpya kabisa ikufikie. Hili ni suala la kujiuliza kama taifa.
75 to 80% yatakuwa hayana wagombea wa ubunge wala udiwani. Afu hawa hawa wanapiga kelele eti wanaibiwa kura.Hii ndiyo habari mpya kabisa ikufikie. Hili ni suala la kujiuliza kama taifa.