Kweli kabisa. Tatizo wengine ni ndoa zao za kwanza tatizo wana asili ya ufitiniMakundi hasa mkeo akiwa urafiki na wanawake waliovunja ndoa zao kwa jina maarufu la makurumbembe yalielezewa kwa undani sana na mkuu Natafuta Ajira
Makundi haya yakiambatana na wanawake walivunja ndoa kisha wakaolewa tena hurudi kwenye ndoa ya2 kwa Timing vibaya mno kwani yana amini yataendwa tena.
Hawa makurumbembe ndo mabanigwa wa kuwashauri wanawake wenye ndoa changa kama ulivyoelezea hapo.
Ni wajibu wa kila mwanaume kupinga kwa namna yoyote Ile mke wake akiwa na ukaribu na haya makurumbembe daima hayana jema kwenye ndoa za wengine.
Yanapigo zote haya umala,ulevi na anasa zote hayana mipaka.
Sijakuuliza swaliJukwaa hili ndio kazi yake
Ulikua Unatakaje?Min-me ni mwanamke au mwanaume? Maana mh...!
ajue kama umeolewa, umuoeUlikua Unatakaje?
Pole mkuu ume comment kwa idea mpya joined 2025,Naimiss sana jf ya enzi zile kipindi mada zilikiwa zinachambuliwa kwa hoja haswa. Leo hii ni majanga
Pole mkuu ume comment kwa idea mpya joined 2025,
Anyway wengi tuiopo humu ni vijana saizi ya kati kwa sasa wale wazee wengi wameshajifia,pengine zoea hilo.
Wengi wetu hatujaoa ndui maana unaona wengi wanakataa ndoa
Ni vipi ukatoa maoni kuhusu ndoa ingali hujaonja tamu na chungu ya ndoa
Wazee wetu wamebaki kina Bufa labda.
Sio suala la kujisifia wala kufurahia kuwa na mtizamo huo. Ukifikia levo uliyofika ni rahisi sana kuwa na woke mind. WOKE sio WAKE au WORK. WOKEPole mkuu ume comment kwa idea mpya joined 2025,
Anyway wengi tuiopo humu ni vijana saizi ya kati kwa sasa wale wazee wengi wameshajifia,pengine zoea hilo.
Wengi wetu hatujaoa ndui maana unaona wengi wanakataa ndoa
Ni vipi ukatoa maoni kuhusu ndoa ingali hujaonja tamu na chungu ya ndoa
Wazee wetu wamebaki kina Bufa labda.
Una maana gani mkuu sikuelewi mbonaSio suala la kujisifia wala kufurahia kuwa na mtizamo huo. Ukifikia levo uliyofika ni rahisi sana kuwa na woke mind. WOKE sio WAKE au WORK. WOKE