Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hizo ndio fact lazima wajue kuomba na kuhonga tofauti zake au sioNapenda unavyowapa ukweli
Wapo wanawake wanaojielewa sio wote wanadanga na wapo wanaume kwa kuomba mpaka unamshangaa
Kweli tunasaidiana na tutaendelea kuwasaidia wanaohitaji
Ila napinga kuwa % kubwa ya waombaji ni wanawake big NO