Asilimia 50% ya Watanzania ni Ombaomba

Napenda unavyowapa ukweli
Hizo ndio fact lazima wajue kuomba na kuhonga tofauti zake au sio
Wapo wanawake wanaojielewa sio wote wanadanga na wapo wanaume kwa kuomba mpaka unamshangaa
Kweli tunasaidiana na tutaendelea kuwasaidia wanaohitaji

Ila napinga kuwa % kubwa ya waombaji ni wanawake big NO
 
Kweli kabisa 100%
 
Endelea kukaza fuvu, ila % kubwa ya wanawake wa kibongo ni ombaomba na wanajiuza. Wana mifumo tofauti tu, unamaliza kula mbususu anakuomba ela au unampa ela akapokea huyo ni mfanyabiashara period.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Serikali iliangalie na hili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuomba kumeshika Kasi, ndomana ukikutana na watu mliopotezana Cha kwanza kukuuliza unafanyia kazi wapi, au hupo wapi siku hizi?,
 
Kwani akipigwa mashine si anapata raha na hiyo ndiyo win win situation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…