Asilimia 60% yanawanaofunga ndoa wamechavuana NGUO !

Asilimia 60% yanawanaofunga ndoa wamechavuana NGUO !

Mi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.

hivi mnakaguana vipi bila ya kujaamiana......................

Aaaaa wasifanye kabla halafu wauziwe mbuzi kwenye gunia?

kumbe hii nayo sasa ni biashara ya kununua na kuuziana.............................mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh...................sikujua kabisa leo umenifungua macho.....................na kunito matongotongo.................................wajamani................

mapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................

mkuu kama hivyo tungekuwa na dadazetu majumbani saa hizi
lakini kwasababu ni zaidi ya kujamiiana ndio maana tuko na familia za watu tena wengine ukiambiwa
mikoa wanapotoka hoi....
Mpao abakese

we ulitaka wasivueane mpk ndoa?
kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?
wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
safi sana,umemaliza kila kitu

Mada nzuri isipkuwa Pdidy jaribu kuweka nukta na koma unapoandika habari inanipa taabu kukuelewa.

we ulitaka wasivueane mpk ndoa?

kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?

wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?

kwa uzoefu wako madam umeshipamana na wangap hadi sasa katika mchakato mzima wa kumtafuta atakayekufaa...

kutest lazima ili ujue pamoja na mambo mengine machine inafaa kwa matumiz, kizaz cha sasa hiv hata watu hawajawa wachumba washamegana zaman!wanaanza kumegana ndo wazo la kuoana linapokuja baada ya kufurahia hako ka-mchezo

mada nzuri isipkuwa pdidy jaribu kuweka nukta na koma unapoandika habari inanipa taabu kukuelewa.

ngongo utaweka ngapi mkuu
nilipata a inatosha sa hizi zamu yenu kurekebisha nikupe password??

kutest lazima ili ujue pamoja na mambo mengine machine inafaa kwa matumiz, kizaz cha sasa hiv hata watu hawajawa wachumba washamegana zaman!wanaanza kumegana ndo wazo la kuoana linapokuja baada ya kufurahia hako ka-mchezo

MBONA uulizi watu wanapata cheti cha license kabla ya license yenyewe wanatka kuhakikisha kama cheti kamili ndipo wachukue license
kama uamini kaulize madreva

kuonja muhimu,utachapiwa ukingoja mpaka ndoa,kwanza honeymoon ndoa baadae!

Piddy hongera sana kwa kufanya utafiti. Hata hivyo nina wasi wasi kwamba sample uliyotumia kwenye utafiti wako haikuwa true representative ya population uliyoikusudia. Labda ulifanya utafiti kwa walokole peke yao au vipi. Ukweli ni kwamba kwa siku hizi na kwa kizazi hiki siyo 60% bali 98% wamabanjuana kabla ya ndoa

weweee,mapenzi ni kujamiaana,hayo mengine ni isindingo ze need

ningekuwa single ningekupa chanc,maana napenda hizo vt ka nimerogelezewa. Ila,ntakuad kwenye empty shell.

wadada wa cku hizi ukimwambia tusubiri ndoa utastukia ana mimba.ukimuuliza anakwambia nilipitiwa na shetani. Aafu c unajua cku hizi inabidi ujue kama mwenzako anafanya kazi sawasawa ili mliendeleze.

Mi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.
kwa kushika tu haitoshi...................hadi nizamishe ndo nakua na uhakika

Ukweli ni kwamba ubora wa kitu huthaminishwa kwa kushikwa,kuangaliwa na kujaribiwa ikilinganishwa na bei ya kununulia pamoja na matumizi yake na ukichukulia bidhaa ipo sokoni na wahtaj ni wengi so ni vzr kuitest mpema ili ujue jinsi ya kuihandle mbele ya safari kuliko kuja kuhangaika badae.

Mkuu Pdidy kabla sijachangia hii Mada yako ningependa ueleze wazi kuwa wew ni Mwanamke au mwanamme? Ningelifurahi kujuwa UU Male Or Female asante natanguliza shukrani kwa mada yako.

unapima kina na ukubwa .. uelewa na umakini ... ubora na kujituma

Back
Top Bottom