Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.
Aaaaa wasifanye kabla halafu wauziwe mbuzi kwenye gunia?
mapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................
safi sana,umemaliza kila kituwe ulitaka wasivueane mpk ndoa?
kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?
sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?
wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
weweee,mapenzi ni kujamiaana,hayo mengine ni isindingo ze needmapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................

we ulitaka wasivueane mpk ndoa?

kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?

wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
kutest lazima ili ujue pamoja na mambo mengine machine inafaa kwa matumiz, kizaz cha sasa hiv hata watu hawajawa wachumba washamegana zaman!wanaanza kumegana ndo wazo la kuoana linapokuja baada ya kufurahia hako ka-mchezo

weweee,mapenzi ni kujamiaana,hayo mengine ni isindingo ze need
kwa kushika tu haitoshi...................hadi nizamishe ndo nakua na uhakikaMi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.

ningekuwa single ningekupa chanc,maana napenda hizo vt ka nimerogelezewa. Ila,ntakuad kwenye empty shell.
ngongo utaweka ngapi mkuu
nilipata a inatosha sa hizi zamu yenu kurekebisha nikupe password??