wacha wewe.......unajifanya mchungaji au padre fake??? unadhani pasingekua huo uhondo nani angelioa? hata wewe ukioa ukapata mwenzio ndo tena pale hapapitiki utahili kweli???mapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................
Na wengi wanafunga ndio ili kutuchangisha maana tayari wanaishi kama mume na mke; kwa lugha iliyonyooka wanatufisadi wakishirikiana na wazazi wao ambao hujifanya watoto wao hawaishi pamoja hivyo tuwasaidie wakaanze maisha
<br />Kweli ni vigumu mno kuepuka hilo, lakini inawezekana, itategemea makubaliano yenu, pia misingi mliyonayo katika imani zenu.
<br />MBONA uulizi watu wanapata cheti cha license kabla ya license yenyewe wanatka kuhakikisha kama cheti kamili ndipo wachukue license<br />
kama uamini kaulize madreva
U sound like you dont blv in God at all. Infact You do not seem to put your trust in God and you seem to think your brain is solely responsible for giving you what you want.we ulitaka wasivueane mpk ndoa?
kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?
sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?
wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
we ulitaka wasivueane mpk ndoa?