Asilimia 75 ya wanaoacha kazi huacha kutokana na sababu ya visa vya mabosi wao

Asilimia 75 ya wanaoacha kazi huacha kutokana na sababu ya visa vya mabosi wao

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka shirika la kazi ulimwenguni ILO imebainika kuwa asilimia kubwa ya waajiriwa wanaoziacha kazi zao walikoajiriwa huacha kazi huwa sababu halisi ni 'maboss' wao.

Tunaambiwa kuwa 75% ya waajiriwa anaojiuzulu nafasi zao katika ajira ni wale wenye matatizo mbalimbali na viongozi wao kwenye mashirika, na 25% inayosalia pekee ni wale wanaoacha kazi zao kwa sababu nyinginezo.

Mashirika mengi kutokana na ukubwa wake au majina yaliyokuzwa na huduma zitolewazo hapo huvutia watu wengi kutaka kufanya kazi ndani yake lakini punde wajiungapo na mashirika yenyewe hukutana na visanga vya 'maboss' wao.

Sasa kumbe kuna mambo mawili hapa, suala la kupata ajira ni moja na kupata viongozi wazuri ni sababu nyingine.

Lakini hili linatuonesha mambo mawili makubwa; Kwanza inaonesha dhahiri kuwa viongozi ndiyo huharibu picha nzuri ya taasisi na ni hao hao hufanya mahala pa kazi pasiwe salama kwa wafanya kazi
 
Kutegemewa kupendwa na boss wako ni upumbavu..
Fanya kazi zako bila kujali boss anakupenda au
Hakupendi..
Usimpe sababu ya kukuchukia..
Hata akionesha kukupenda usichukulie ndo
Kibali cha kuleta uvivu na visababu..

Mostly important .. never fight with your Boss..
They always win.. always
 
Kutegemewa kupendwa na boss wako ni upumbavu..
Fanya kazi zako bila kujali boss anakupenda au
Hakupendi..
Usimpe sababu ya kukuchukia..
Hata akionesha kukupenda usichukulie ndo
Kibali cha kuleta uvivu na visababu..

Mostly important .. never fight with your Boss..
They always win.. always
Umenivurugaaa boss!!!!
Kuna vitu hapo umeniongelea mm +ve sana halaf kuna vingine umeniponda.
Ahahahahah.
Ila all in all maofisn tunafany kaz nying sana za ku deal na mood swing za ma boss. Hiz ni "nje ya ajira" .

Binafsi najijua ni mvumilivu ila nina limits.Na nikifika limits huwa naweka migomo yangu personal hata kama ofc nzima itakua kinyume na mm il tu kumfurahis boss.
Mfano.
Season hii ya corona ofc ilikalia salary toka mwez april.No official notification abt the same tumepewa.At the same time mirad ya pesa nying tu inafanyika. Dissapointing

Bila taarifa nika tulia na mm home kimya.Siend wala sijigus.And ofcz no one asked.Manager wangu kunjchek nikasema financially i cant breath so cant manage road mobilisation.3 montha imagine!!.

Weekend hii wakaingiza salary ya 1 month.Leo nimekuja ofcn.
Boss kaja kanikuta hajanisalimia, na mi nikatulia tu.Ki utaratibu yy ndio alipaswa.
So mleta mada yuko sahihi.Though bosses win lakin huwa sipendi kufikia kiwango fulan cha dharau.
 
Ni kwel kabisa hasa kwenye private sectors
 
majungu na fitina kazini ndio chanzo kikubwa,
baadhi ya viongozi wamendekeza sana kusikiza na kupokea majungu na kuyafanyia kazi, unaweza kumonea mfanyakazi kwa kumwachisha kazi kumbe ni watu wametengeza majungu tu, na hii imewahi kutokea ktk kipindi cha awamu ya 4
viongozi mnatakiwa muwe makini kabla ya kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom