Hata hapa Tanzania, kama si kushusha ufaulu wa Elimu ya msingi, hali halisi ya ufaulu ni kama huko Zimbabwe. Hata hivyo, Zimbabwe imepita katika hali ngumu sana kisiasa na kiuchumi, hivyo nitashangaa sana ikiwa kama kuna Mtanzania atajaribu kuwakashfu au kuona Tanzania ipo salama.