anjnr
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 539
- 208
82% ya wanafunzi nchini Zimbabwe wamefeli mitihani yao na miongoni mwa sababu zilizotajwa kuchangia ni uhaba wa walimu. Inasemekana zaidi ya walimu 35,000 wamekimbia nchini humo kwenda kufanya kazi nje ya nchi.
Source:BBC asubuhi ya leo.
My take:Hapa kwetu wastani wa kufaulu ungepunguzwa ili kuonesha kiwango cha ufaulu kinaridhisha hata kama hali halisi ni tofauti.
Source:BBC asubuhi ya leo.
My take:Hapa kwetu wastani wa kufaulu ungepunguzwa ili kuonesha kiwango cha ufaulu kinaridhisha hata kama hali halisi ni tofauti.