ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Kwa hiyo nyote nyie ni mashemeji?Kuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
Kwaito hiyo Kwio!Vilaza wanawazaga kucheza kwaito
Okaykwa hiyo nyote nyie ni mashemeji?
Ha ha ha.Vilaza wanawazaga kucheza kwaito tu
Vipi tamthilia gani huwa unafuatilia?Kabisaaaa mi nipo kwa Dada ngu nachezea remote asubuh mpaka jioni
Namba yake tafadhali😁
Subiria kuolewa tuMbona mi naona hamna tatizo hapa nina 47 bado nipo nyumbani na wazazi wanafurahia
Kweli kabisa... tena vijana wengi wa namna hii ni mashabiki wa Yanga. Kazi kushangilia Simba ikifungwa.
Fanyeni kazi vijana!!
😂 unapika pikaKabisaaaa mi nipo kwa Dada ngu nachezea remote asubuh mpaka jioni
mimi nimeamua kumfanya shemeji (kwa siri) NYUMBA NDOGO. Yaani kuliko nikatafute kicheche mtaani bora nile humo humo ndani kwa gharama nafuu na pia katika kutimiza ile dhana ya EMPOWERMENT.
** nahusudu utaratibu wa dini fulani (jina kapuni) wa kuruhusu kuoa zaid ya mke mmoja hata kama ni ndugu.
Ha ha haUnaonekana asili yako utakuwa mwarabu wewe.
Ha ha ha. Kwenye kwaito huwatoi aseeVilaza wanawazaga kucheza kwaito