Okay DadaKabisaaaa mi nipo kwa Dada ngu nachezea remote asubuhi mpaka jioni
La mujer dermividaVipi tamthilia gani huwa unafuatilia?
Ana wadada wa kazi watatu mi kazi kula chakula na wao[emoji23] unapika pika
Labda hizo sehemu lakin wengi wanapambana sanaKatika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Mwanza & Kagera umegundua 88% ya vijana kati ya umri wa miaka 30 na 35 bado hutegemea kwa matumizi yao yote toka kwa wazazi ama Mashemeji zao.
Hii si dalili nzuri tunapoelekea kwenye nchi ya viwanda na kutimiza dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025 (Tanzania Vision 2025). Vijana amkeni fanyeni kazi, biashara, kilimo, acheni kubweteka na ku-bet kutwa nzima, kushangilia mipira ya ulaya na siasa za Marekani huku hamna namna ya kuingiza kipato binafsi zaid ya kutegemea mashemeji na wazazi kuwapa pesa ya matumizi.
========
Maoni ya WanaJF yamesomwa kwenye kipindi hiki cha JAMII LEO
*vijana acheni uvivuuuu
Shanga unazo?Ana wadada wa kazi watatu mi kazi kula chakula na wao
Wao ndo wanazo mi kazi yangu kucheza nazo afu unawivu na mimi na wewe nenda kwa shemeji zakoShanga unazo?
Vijana wa sahv lelemama sanaVijana wanajilegeza mnoo
Vijana wa sahv lelemama sana
Ndomana wengi wao wanaingia kwenye ushg maana wanataka kupewa tu ,huku wakipenda na kutamani vitu vizuri
Ova
Na hizi ajira za burdan zimewaaribuVijana wa siku hizi wanatinda nyusi, wanafanya makeup, wanavaa nguo za kubana kama dada zao , wanatembea wakibinua makalio, wanaenda saluni kuosha miguu wakati kuna mawe ya miatano unanunua unasugua miguu yako, bila kurudi kwenye uasili mambo yatakua mabaya, wazee wa kirangi walibeba vindege vya kuvhomwa na viazi na maji kwenye dumu kwenye safari zao kwenda kupambana, wazee walibeba mihogo na karanga za kukaanga na dumu za maji kwenda kupambana na waliweza vijana wanataka waishie tmk, kino, obey, masaki, waamke asubuhi wabebe vibegi waende mjini kuzurula balaa sana.
Nina miaka 28 sasa hivi tangu nimalize chuo naishi mwenyewe wakati nilivyoona ajira ngumu nimekaa chini nikaandika mawazo yangu ya biashara nikaenda kwa wazazi na ndugu wengine waniazime pesa za mtaji now naingiza laki 8 na 40 kwa mwezi sawa na yule aliye kazini
KitimotoBiashara gani?
Shemeji kwema?Toka nije kwa shemeji asubuhi nakula mayai mkate siagi na maziwa halafu eti niondoke nikaunge unge labda ntakuwa nimechanganyikiwa