Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Mwanza & Kagera umegundua 88% ya vijana kati ya umri wa miaka 30 na 35 bado hutegemea kwa matumizi yao yote toka kwa wazazi ama Mashemeji zao.

Hii si dalili nzuri tunapoelekea kwenye nchi ya viwanda na kutimiza dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025 (Tanzania Vision 2025). Vijana amkeni fanyeni kazi, biashara, kilimo, acheni kubweteka na ku-bet kutwa nzima, kushangilia mipira ya ulaya na siasa za Marekani huku hamna namna ya kuingiza kipato binafsi zaid ya kutegemea mashemeji na wazazi kuwapa pesa ya matumizi.
========

Maoni ya WanaJF yamesomwa kwenye kipindi hiki cha JAMII LEO

*vijana acheni uvivuuuu

Labda hizo sehemu lakin wengi wanapambana sana
 
Vijana wa sahv lelemama sana

Ndomana wengi wao wanaingia kwenye ushg maana wanataka kupewa tu ,huku wakipenda na kutamani vitu vizuri

Ova

Vijana wa siku hizi wanatinda nyusi, wanafanya makeup, wanavaa nguo za kubana kama dada zao , wanatembea wakibinua makalio, wanaenda saluni kuosha miguu wakati kuna mawe ya miatano unanunua unasugua miguu yako, bila kurudi kwenye uasili mambo yatakua mabaya, wazee wa kirangi walibeba vindege vya kuvhomwa na viazi na maji kwenye dumu kwenye safari zao kwenda kupambana, wazee walibeba mihogo na karanga za kukaanga na dumu za maji kwenda kupambana na waliweza vijana wanataka waishie tmk, kino, obey, masaki, waamke asubuhi wabebe vibegi waende mjini kuzurula balaa sana.
 
Na hizi ajira za burdan zimewaaribu
Maana kila kijana sahv anafikiria kukata mauno

Ova
 
Nina miaka 28 sasa hivi tangu nimalize chuo naishi mwenyewe wakati nilivyoona ajira ngumu nimekaa chini nikaandika mawazo yangu ya biashara nikaenda kwa wazazi na ndugu wengine waniazime pesa za mtaji now naingiza laki 8 na 40 kwa mwezi sawa na yule aliye kazini

Biashara gani?
 
Hua nakasirika sana nikiona post kama hizi.

Kwa mtaa ninapo ishi nawaona vijana wengi wakipambana na Boda boda, Bajaji, Uuzaji wa chipsi na kitimoto, kilimo, Utingo, Ujenzi, Umeme na ufundi mwingine.

Wengi wao wamepanga au wanaishi kwao, lkn unawaona wanajitafuta.

Vijana wenzangu hakuna kukata tamaa na maneno ya vijana wa 1950 - 1999. Kwamba sisi vijana tunajilegeza

Kundi hili la vijana. Lilikua linasoma bure, likimaliza chuo ajira zilikuepo za kutosha, Kulikua na viwanda vya ndani ya nchi, Pia ardhi haikua bei ghali kama ilivo sasa.Na hakukua na mfumuko wa bei kama tunao ushuhudia sasa.

Lakini haya yote hawayaoni kazi kutusagia kunguni vijana wa 20's. Ila tunawahakikishia we are going to build a better country that you can't imagine.

Cheers Vijana.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom