cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Na huyu ndio shemeji ninae mtegemea sasa mimi kama kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu ndio shemeji ninae mtegemea sasa mimi kama kijana
Wengine hawabebeki mkuuUkiona hivyo labda dada mtu naye hana kitu. Kama ana uwezo afu anashindwa kumfanyia mdogo wake maarifa akajitegemee... basi huyo naye hamnazo
Then fukuza... ukae na mzigo kwani mzazi wako huyo?Wengine hawabebeki mkuu
Tunalinda ndoaThen fukuza... ukae na mzigo kwani mzazi wako huyo?
Fafanua mkuuVijana wengi mnataka Mambo maduri bila kuwekeza kwenye uzoefu/bidii na elimu
We jamaa una mipasho!Kanda ya Ziwa. Honeymoon is over! Mkafanye kazi
Wape kazi boss.Vijana fanyeni kazi
Waende baa ya jirani hawatakosa kaziWape kazi boss.
Malipo?Waende baa ya jirani hawatakosa kazi
ASPWaende baa ya jirani hawatakosa kazi
shem [sponyo] yeye anasemaje?Toka nije kwa shemeji asubuhi nakula mayai mkate siagi na maziwa halafu eti niondoke nikaunge unge labda ntakuwa nimechanganyikiwa
Umewahi Kulima?Tatizo wanakimbilia mjini. Vujijini eka moja ni elfu 50 mpaka laki 2. Wanunulie hata eka 5, jenga kibanda, wape mtaji wa kuanzia kilimo, miaka miwili utakuwa unawaomba hela ya mafuta.
Uliwapa kazi gani mkuu waka kataa?Tatizo wanaume wengi siku hiz wanachagua kaz na wengine hawataki kaz lakin wanapenda vya bure