Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Masikitiko Sana vijana wengi hawajitambui na wamekua legelege mnnooo
 
Mkuu hio asilimia ni kubwa Sana na tunapoelekea ni tatizo kubwa kwa ma single mama watakuwa wengi kijana anampa msichana mimba yeye mwenyewe analelewa Sasa atawezaje kumuhudumia mwenzake
 
I'm 36yo bado niko kwa bimkubwa&mzee,and i'm proud of it,wengi wenu mnaongea hivyo 7bu ugumu maisha,hamna pa kwenda,nimejenga kwetu,naendelea kuishi kwetu....
Ongera mkuu bado unanyanganana vitumbua asubui na wadogo zako
 
Back
Top Bottom