Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

masara

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,738
Reaction score
2,282
za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja,
kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto.
kwa sababu kulingana na historia familia nyingi za zamani zilikuwa zinafatilia historia ya familia husika hasa madhaifu ya familia kama mangojwa, historia ya kudumu kwenye ndoa na mambo mengine mengi ndio mahusiano yanaanza baada ya pande zote mbili kujiridhisha kuwa kwa mapungufu yaliyopo basi tunaweza kuvumiliana ila vigezo visipokidhi basi tambua kijana utaambiwa hiyo familia sio ya kuoa sisi... na hiyo ni moja ya mtazamo wangu kwa nini familia nyingi za zamani zinasifika kwa kudumu kwenye ndoa..
kwa kipindi hiki watu wengi tunakutana kimjinimjini na kikanisani kanisani au kinyumba za ibaada ibaada... unakuta kigezo namba moja ni mtu eti awe mcha Mungu (nieleweke sipingani na mtazamo huo)au unamuangalia mtu kisa ananena kwa lugha mwanzo mwisho unashau kuwa hata kunenena kwa lugha watu wanaiga tu na inakuwa lakini kuwa mcha Mungu haimaanishi kuwa mtu huyo hana mapungufu, sasa utata unakuja pale ndio mnaanza mahusiano unagundua kuwa kumbe hata yeye anamapungufu tena makubwa kuliko hata ya asiyekwenda kusali... tayari unashidwa kumvumilia. unaishia kuongeza idadi ya kuachwa na kuacha..... hivyo kabla ya kuingia kwenye mahusiano ni vizuri ujiandae kiakili kuwa ni lazima uweze kuvumilia utakachokutana nacho.... mfano kwa asili wanaume wengi ila sio wote wanakuwa na faraja na kuwa na zaidi ya mwanamke mmoja na unakuta ndio udhaifu wa mpenzi wako halafu unaanza kuwa mkali wakati hata wewe ni hawara yake kwa vile alikuahidi kukuoa mke wa pili ukafikiri ndo atafika mwisho......
nilishawahi kukutana na dada mmoja mwanajeshi yeye alishawahi date na mwanaume mvuta bangi na mwingine yeye ni mzee wa totozi, ila alichoniambia ni bora awe na mzee watotozi kuliko kuwa na mvuta bangi... yeye alijipima akaona huo ni udhaifu anaoweza kuuvumilia
KUMBUKA MSINGI MKUU WA UPENDO NI KUSITILI WINGI WA DHAMBI hayo mengine ni zaida
 
Kimsingi hili bandiko lina ujumbe mzito ila nasikitika kusema kwamba michango haitavuka hata mfereji maana kizazi cha leo hakitaki kusikia mambo ya kuvumiliana.😂😂😂 Ukiongelea pesa mtaelewana maana mapenzi ni biashara ya kuboresheana maisha.
 
Ndoa inabebwa na Upendo, uvumilivu, masikilizano, kuhurumiana, kusameheana kubwa inabebwa na uwepo wa hofu ya Mungu miongoni mwa wanandoa.

Migogoro haiepukiki katika ndoa yeyote Ile kwa kuwa sisi wote tuna mapungufu.

Ikitokea Kati ya baadhi hapo juu yakakosekana Basi ni vigumu uvumilivu kuwa wa kudumu.

Wanandoa ni muhimu Sana kuvumiliana.

Ila angalia unavumilia Nini, Kama japo linahatarisha afya ya akili na mwili wako hakuna Cha kuvumilia hapo.
 
Back
Top Bottom