Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi za Simba

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wanajukwaa Kwema!

Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.

Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi

Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.

This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’

Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu.

Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika.

Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa.

Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10.
 
Utopolo walipewe penalty ya bure dhidi ya Tabora united Kipa wa Tabora akadaka akaachia kwa mshambiliaji mshambiliaji akaandika bao. Simba walipata penalty halali dhidi ya Tabora Ateba akaukwamisha Mpira kunyavu.

Ni hayo tu kwa leo.
ILe penalty dhidi ya Dodoma jiji ambayo ndio iliamua na yenyewe ikoje
 
Wanajukwaa Kwema!

Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.

Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi

Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.

This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’

Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu.

Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika.

Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa.

Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10.
Kama wanafanya kusudi wataendelea kukaa kimyaa a.k..a kujizima data
 
Je wachambuzi wa mchongo hukuwahi kusikia wakilichambua hili!
 
Attachments

  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 2
Waamuzi nao Wana mahaba na hizi timu.
Wanajukwaa Kwema!

Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.

Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi

Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.

This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’

Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu.

Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika.

Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa.

Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10.
 
Mijadala ya kishabiki kwa wachambuzi wetu. All in all majibu yamepatikana kimataifa, huwezi bebwa kwenye ligi halafu kimataifa ukafika mbali
 
Back
Top Bottom